Miaka 63 baba mdogo hajawahi kurudi nyumbani

Miaka 63 baba mdogo hajawahi kurudi nyumbani

Inaonyesha mama hataki mawasiliano na ndugu zake labda anajua sababu, pa kuanzia mama akuambie Kijiji alichozaliwa na kukulia na pia kijiji alipowaacha ndugu zake wakati anaolewa, pia akutajie majina ya wazazi wake, ndugu zake aliozaliwa nao, majina kamili ya wajomba, baba wadogo na wakubwa wa ndugu zake, ukishapata hizi taarifa ukifika shy hazipiti siku mbili utawapata
[emoji2]ndani ya masaa 6 tu atakuwa amewapata ndugu zake
 
Katika familia kuna siri nyingi sana ambazo unaweza usizijue na ukadhani aliyeondoka ni mjinga na hajielewi. Familia nyingi duniani ni za kijinga na kipuuzi sana, zimejaa chuki, khusda, mauaji ya kichawi, kuharibiana nyota n.k. wengi huondoka na wasirudi tena na haijaanzia leo ni tangu kuja kwa mwanadamu.

Jambo pekee ni kumuamini Mungu pekee na sio hao wazazi, ndugu au rafiki kwani nao hao ni binadamu na wanayo mapungufu yao kibao.

Binafsi naishi Mkoa tofauti na sifikirii si tu kurudi bali hata kupata Mke kutoka eneo hilo maana hilo eneo kwangu ni hatari, kwasasa narudi kwakuwa mmoja wa walionizaa yupo hai na si vinginevyo.

Binadamu ukiwaweka sana kichwani mambo yako hayaendi, utalost, na mbaya zaidi ukisimamia future yao na yako mtalost nyote maana kuna wengine ni masikio ya kufa na umasikini.

Kijana amka na upambane na uache imani kuwa zipo dawa utafanya kumrudisha ndugu aliyepotea home muwe nae, zaidi mutamsema kuwa kala maisha na hakuwajali.

Jitahidini mfanye yenu na yake muachieni Mungu kwani uliyeandika huu uzi hauwezi kujua hao unaoita nduguzo ulionao hapo home walimfanyia jambo gani huyo Mzee.. maybe walitaka kumuua, kumuweka msukule, kumharibia kwa namna yoyote ile, jitahidi uwafahamu binadamu, itakusaidia sana pale watakapokufanyia mambo ya hovyo.

USIMWAMINI HUYO ULIYEKAA NAYE KARIBU YAWEZEKANA ANAKUFICHA UKWELI WA HILI ULILOLIANDIKA HAPA, SIKU UKIJUA UKWELI UTAMCHUKIA NA KUMSIFU SHUJAA ALIEKIMBIA TANGU 1957
Mkuu umeandika kwa experience kubwa sana.
Unaonekana ni mtu umetembea sana au umeishi na jamii za aina mbalimbali,wengine hawajui haya wanaongea kishabiki tu,hii dunia ina mambo mengi sana ya siri ambayo binadamu wengi hawayajui.
Kuna vitu vingine huwezi kuviona au kuvijua mpaka uwe na macho matatu.
Mimi ni kijana mdogo ila nimeshuhudia mambo mengi sana katika hii dunia na ndio maana nimekuelewa kwa haraka sana comment yako.
 
Zaidi ya nusu ya Tanzania nimeishi nayo, tena makabila yenye khusda sana nimeishi nayo pia. Nimeteswa na kupitia dharau za ndugu, na hadi sasa naishi nje ya kwetu na wala cjutii kutomuona ndugu yeyote yule, hawa watu ni hatari sana na tena nakuambia kuwa usipokuwa makini ndugu watakufanya ulaaniwe na wazazi kwani baadhi ya wazazi huwaamini ndugu kuliko watoto wao.
Cjafikia 40 years ila nipo Konki kiuelewa kuhusu binadamu..... Asante sana Mungu kwa kunionesha mapema wanadamu na sasa ndio naishi maana tayari nawafahamu kwa kina.
 
Kumbe maisha yako hayana tofauti na yangu.
Unajua watu wengi waliopitia manyanyaso akili zao huwa zinafunguka sana na kuweza kuona nje ya box.
Watoto waliolelewa kimayai mayai wanaiona dunia ipo tu kama ilivyo huwa hawavioni vitu vilivyo nyuma ya pazia.
Zaidi ya nusu ya Tanzania nimeishi nayo, tena makabila yenye khusda sana nimeishi nayo pia. Nimeteswa na kupitia dharau za ndugu, na hadi sasa naishi nje ya kwetu na wala cjutii kutomuona ndugu yeyote yule, hawa watu ni hatari sana na tena nakuambia kuwa usipokuwa makini ndugu watakufanya ulaaniwe na wazazi kwani baadhi ya wazazi huwaamini ndugu kuliko watoto wao.
Cjafikia 40 years ila nipo Konki kiuelewa kuhusu binadamu..... Asante sana Mungu kwa kunionesha mapema wanadamu na sasa ndio naishi maana tayari nawafahamu kwa kina.
 
Hii habari yako ni questionable! Mjombake mama aliondoka 1980's mama akiwa mdogo akaja kurudishwa 2000's wewe umshamaliza sekondari. Hebu eleza vizuri.
rudia kusoma posti yangu vizuri uone sikuandika nimemaliza nimeandika nikiwa niko sekondari,

aliondoka 1980s mwanzoni, akarudishwa mwaka 2008, nikiwa form one, nilizaliwa 93, mama yangu kazaliwa mwaka 68, miaka ya 1980s mwanzoni alikuwa ni binti mdogo wa miaka kumi na kitu, walakini unauokota wapi hapo, na hii ni istori ya kweli kabisa sijatunga
 
Maisha kweli yana Mengi

Nina anko wangu amepotelea kusikojulikana yapata miaka 12 sasa
Alikuwa mtu poa sana sema maisha yalikuja mpiga Tukio
Mkewe alifariki kwa uzazi akamwachia katoto hata Wiki hakajafikisha ,mama yake (bibi yetu) akawa amechukua Mtoto Kumlea ,
Hajakaa sawa ndani ya huohuo Mwaka akaunguliwa nyumba akapoteza kila kitu bahati nzuri hapakuwa na mtu ndani ila aliunguliwa kila kitu, baada ya matukio Haya akakata tamaa kabisa akawa mtu wa mitungi tu, akaja kupotelea kusikojulikana, amekaa zaidi ya miaka 6 hajulikani Aliko, kumbe alishazamia maeneo ya ziwani mbali Kabisa wanaishi wavuvi tu, aliletwa akiwa amezidiwa hajitambui, akatibiwa na Dada zake (mama zetu) akapona, akaendelea kula mtungi na kupiga vibarua vya hapa na pale kumbe anakusanya nauli, alivyosepa mpaka leo haijulikani yuko wapi miaka zaidi ya 12 sasa.
Amefariki kaka yake hajaonekana na mama yake (bibi) kafariki hajaonekana, hako katoto alikoachiwa na mkewe alikaacha kadogo mpaka sasa kana familia hajui chochote
 
Asante sana bwana mkubwa,hakika nitafuata ushauri wako ,lakin me nadhan kipindi anaolewa aliolewa na pelekwa sehemu za mbali na kwao kwahiyo uwezekano Wa kurudi kwao haikuwezekana

Lakin asante sana
Inaonyesha mama hataki mawasiliano na ndugu zake labda anajua sababu, pa kuanzia mama akuambie Kijiji alichozaliwa na kukulia na pia kijiji alipowaacha ndugu zake wakati anaolewa, pia akutajie majina ya wazazi wake, ndugu zake aliozaliwa nao, majina kamili ya wajomba, baba wadogo na wakubwa wa ndugu zake, ukishapata hizi taarifa ukifika shy hazipiti siku mbili utawapata
 
Nawatafuta ndugu zake, Hata hivyo mama ni mpweke sana Nami pia hiyo hali inanitesa sana Muda mwingine najisikia mpweke sana,Natamani sana niwaone ndugu zangu
Kwanini usimuulize kijjiji chao au kata alafu wewe mwenyewe unaenda kuulizia upate ndugu zake Mama?
 
Kwanza ni marufuku kula pamoja na wanaume...wanaume wanaweza beba chungu Cha mboga na usifanye kitu!😄😄😄! Mie pia nimepitia Sana unyanyasi huo kwa baba...dogo letu mpk leo wanamtreat Kama mfalme!
Nilifight Sana nikajua shortcut ni mm niwe na life zuri . .Kuna ukandamizaji Sana ..Tena ule wa kuumiza ..huoneshwi hata Hati za viwanja zimeandikwaje...yaan unaishi Kama unaelea hewani tu mradi kuche😆😆! Yaan wanaume wa kisukuma ni balaa!...hawa dawa yao uwazidi tu wanakuwaga Kama mavifaranga yenye mdondo

Umeongea kweli mimi sio mtu wa huko ila kuna rafiki ni mama Dr. katoka usukumani alikuwa anadharaulika sana hata akiongea anaambiwa unaongea wewe kama nani sisi harusi likizo wanawake hata kama ume soma. Yule mama alinyamaza akaamua yeye amtunze mama ake maana baba alishakufa yule mama alimjengea mama ake nyumba nzuri sana akamnunulia gari na kumwekea driver. Ndugu kuona hivyo wakaanza kumfuata kumwomba pesa na yeye alikuwa anawajibu kwa nini mnataka kula pesa ya mwanamke nyie si wanaume? Huwa hamsikilizi wanawake sasa mbona mnanifuata
 
😆😆😆😆🙌🙌🙌! Nimewahi mfumania mama mkwe mmoja anamnyali mwanaye wa kiume...(anamwambia umemwacha mkeo ameshakuzidi kipato..usije nilalamikia Mimi kbs...akamuita yule mkamwana akamwambia mama mabiashara unayofanya mbona makubwa Sana kukuzidi ..hizo kazi ni ngumu...wewe kalime mchicha kile kiwanja kingine mtaji wa mbegu ntakupa..(kumbuka mtaji wa mchicha kilo moja ni 8000/-
Yaani Kuna ukiritimba Mungu hapendi!
 
Unaandika vitu havieleweki!
 
Maisha haya wamejaa mambo mengi sana hasa ya utafutaji.

Je, umeshawahi kupotezana na ndugu yako wa tumbo moja, binamu yako, Baba Mkubwa au Baba Mdogo, Shangazi, Mama au Baba, Bibi au Babu, Mpwa, rafiki yako au hata jirani yako, Baba Mkwe au Mama Mkwe unawasikia sikia tu wapo mahali fulani lakini kutokana na maisha yetu haya kitanzania umeshindwa kwenda kumtafuta huko mikoani alikokimbilia.

Binafsi baba yetu huwa anatuambia anaye Kaka yake mkubwa ambae aliondoka nyumbani toka mwaka 1957 hadi sasa hajawahi kurudi ila ana watoto kama watano nao aliwaacha wakiwa wadogo. Kati yao watatu wapo Uingereza na wenyewe waliondoka mwaka 1983 na hawajai kurudi tunasikia tu story mmoja yupo Kigoma na mmoja tunamsikiaga tu TBC Taifa ila huyo wa Kigoma ndo huwa anatutembelea.

Sababu za kuondoka nyumbani tunaambiwa ni kutafuta maisha ila tulishafanya kila njia kumtangaza kupata imeshindika tumetumia radio na magazeti hatujwahi kumpata. Mtoto wake huyo anaekaa Kigoma alimsikia Baba yake kuwa yupo Singida akaanza pori kwa pori lakini wapi.

Kuna mtu akamwambia yupo Ruvuma akaanza ardhi kwa ardhi lakini wapi.
Kubwa zaidi aliondoka akiwa hajawahi kupiga hata picha ,huwa tunatamani kumuona huyo dingi lakini imeshindikana.

Hapa ina maana Baba Mdogo wetu huyu hajui hata sura ya ndugu zake, hajawahi kuhudhuria msiba wa Baba yake wala Mama yake.

Wengine huwa tunajisemea bado hai muda mwingine tunajisemea tu huyo alishachukuliwa na mbingu.

Je, una ndugu amewahi kuondoka nyumbani na hajawahi kurudi na kwa nini, sababu za kuondoka nyumbani ni nini?

Njia gani umewahi kutumia ili kumpata?

Je, ni kweli kuwa kuna dawa za kuwarudisha watu waliopotea au kuondoka nyumbani?

Unajisikiaje kusikia ndugu yako kukimbia nyumbani

Je, kuwa mlowezi ni laana?

Je, tutumie chanjo kama iliyompata Osama kwa kutafuta vinasaba?
Mimi kaka Yangu wa pekee alitoweka miaka 7 sasahivi hatujui alipo. Mambo haya yanaumiza sana.
 
😆😆😆😆🙌🙌🙌! Nimewahi mfumania mama mkwe mmoja anamnyali mwanaye wa kiume...(anamwambia umemwacha mkeo ameshakuzidi kipato..usije nilalamikia Mimi kbs...akamuita yule mkamwana akamwambia mama mabiashara unayofanya mbona makubwa Sana kukuzidi ..hizo kazi ni ngumu...wewe kalime mchicha kile kiwanja kingine mtaji wa mbegu ntakupa..(kumbuka mtaji wa mchicha kilo moja ni 8000/-
Yaani Kuna ukiritimba Mungu hapendi!

Basi wako nyuma sana na ndio maana wanasema ukiona jamii kina mama wajinga angalia hata vijana wao hawawezi kuwa na akili kama wanayo ya darasani basi ni ya kukariri tu lakiji sio ya kutumia common sense. Angalia jamii nyingi zinazonyanyasa wanawake huwa hazina maendeleo na hata wakiendelea unakuta hawana classy yapo yapo tu na kuvaa mi suti ya red au purple. Maendeleo sio ya maana
 
Nawatafuta ndugu zake, Hata hivyo mama ni mpweke sana Nami pia hiyo hali inanitesa sana Muda mwingine najisikia mpweke sana,Natamani sana niwaone ndugu zangu
Hujanielewa, muulize Mama kjiji chao au kata alafu nenda huko katafute wajomba na shangazi zako
 
Basi wako nyuma sana na ndio maana wanasema ukiona jamii kina mama wajinga angalia hata vijana wao hawawezi kuwa na akili kama wanayo ya darasani basi ni ya kukariri tu lakiji sio ya kutumia common sense. Angalia jamii nyingi zinazonyanyasa wanawake huwa hazina maendeleo na hata wakiendelea unakuta hawana classy yapo yapo tu na kuvaa mi suti ya red au purple. Maendeleo sio ya maana

Hahhaahahahhahaahhajajajajaahahhaa.natamani kubandika sehemu hii😆😆😆! Mie nitasema ukwel siku zote..nyumba ambyo mwanamke ndo ana akili na smart ndo zinaongoza kwa discpln na maendeleo ya kijamii..haya mapanyabuku yanayoonea wake zao wanataka muda wote mke awe roughy ,awe na mamkaa Mara masizi Mara avae matenge Kama mama mchungaji always huwa shidaaaa📌📌📌📌📌! Nimecheka na hizo red suits na puple uwiii Nakufa Mimi jaman🤣🤣🤣🤣🤣🤣!..Basi hiyo ndo jamii ya wasukuma😄🙌
 
Back
Top Bottom