Miaka 63 baba mdogo hajawahi kurudi nyumbani

Miaka 63 baba mdogo hajawahi kurudi nyumbani

Inauma Sana...hata sisi shangazi yetu alijifungua mwaka 1963! Naskia akawa anatoka kinyesi...jamii ikamtenga..akaona isiwe kesi...ndo hii sasa tunaita "fistula!
Tunajiulizaga sijui alipona au alikufa! Aliondoka na mwanaye[emoji24][emoji24]
pole sana sista, mmewahi kujaribu kumtafuta?
 
Inauma Sana...hata sisi shangazi yetu alijifungua mwaka 1963! Naskia akawa anatoka kinyesi...jamii ikamtenga..akaona isiwe kesi...ndo hii sasa tunaita "fistula!
Tunajiulizaga sijui alipona au alikufa! Aliondoka na mwanaye😭😭
Very sad ....pole sana ndugu yangu ...huenda kuna siku tutamwona tena.
Unyanyasaji na unyanyapaa wa aina hii upo sana kwa kweli .
 
Inaonekana kupotea katika familia ya huyo mzee ni kitu cha kawaida aisee..

Babu yangu mzaa baba aliondoka kijijini akamuacha baba mkubwa na mwaka miaka miwili ..Baba angu ndiyo Kwanza mimba ya miezi mnne..alikuja kurudi baba mkubwa ameshamaliza chuo ameanza kazi Baba ndiyo kaja mjini kutafuta maisha.
Hili neno kutafuta maisha lina maana pana ktk jamii zetu za kitanzania yani mtu anapotea tu kila kukicha...shida tukienda kutafuta kwa hasira au kukacha bila kuoga n shida .
 
Hii imeniumiza sana sijui alimwambia nn mwanae alipoulizia kuhusu ndugu zake. Mngejaribu kumtafuta hata huyo mwanae nahisi hata mama mtu atafarijika sana.
Baba Kuna miaka alienda mwanza huko vijijini akamtafuta Sana hakuna alompa feedback nzur..huwa anahis alienda Musoma..maana kwao ni mpakani nA Musoma huko
 
Miaka ya 90 mwishon nikiwa mbeya tunaenda minadan huko santiria ilembo. Baridi kinoma. Kufika huko cku moja mvua ya kiume ikanyesha. Tulilala juu ya mizigo barid kali kilichotusaidia tulikuwa tunavaa makoti makubwa na kofia zinazofunika mpaka masikio zinaacha sura tu. Sasa nikaambiwa kuna mbabu mmoja mangi mwenzangu kaloea kule. Nikaenda kumuona. Mzee keshakuwa mwenyeji. Katoka moshi mwaka 1958. Ana mke na watoto wakubwa na wasomi wakubwa tu.cha ajabu yule mzee aliniambia alikotokea na hakuwah kurud kisa aligombana na baba yake. Ni karibu na nyumban kabisa. Na kabadilisha jina na hata hakuwaambia familia katokea moshi ipi. Nilikuja kwenda moshi baadae nawaulizia wazee wenzake ndugu zake nimemuona ndugu yao hawakuamin. Nikaja kuwapeleka.. nakumbuka mdogo wake ile kumuona tu alizimia. Tukampeleka mbaliz mision kwa lena. Walikuja kwenda mosh na ndugu zake walimpa shamba la urithi wake akawagaia wanae wawili wameamia moshi ila yule mzee alishafariki.
 
Ila pia mnabidi mjue kwamba zipo maiti nyingi tu zinazikwa na manispaa kwa sababu ya kukosa ndugu. Nashauri sana watu tuwe na tabia ya kutembea hata na kitambulisho chochote ili hata likitokea lolote baya kitambulisho kinaweza kusaidia kuwapata ndugu
 
Nina mjomba wangu katokomea kusaka Hazina ya Mjerumani, wala hayupo mbali ila ni miaka 16 sasa hataki kurudi kwenye familia yake.
Miaka ya mwanzo alikuwa akija na kuondoka ila walipozidi kumkejeli basi akaona hawa wendawazimu, kapotea mazima.

Hhhaa hii kali jamani! Kitu cha hazina ya mjerumani🤭🤭
 
Miaka ya 90 mwishon nikiwa mbeya tunaenda minadan huko santiria ilembo. Baridi kinoma. Kufika huko cku moja mvua ya kiume ikanyesha. Tulilala juu ya mizigo barid kali kilichotusaidia tulikuwa tunavaa makoti makubwa na kofia zinazofunika mpaka masikio zinaacha sura tu. Sasa nikaambiwa kuna mbabu mmoja mangi mwenzangu kaloea kule. Nikaenda kumuona. Mzee keshakuwa mwenyeji. Katoka moshi mwaka 1958. Ana mke na watoto wakubwa na wasomi wakubwa tu.cha ajabu yule mzee aliniambia alikotokea na hakuwah kurud kisa aligombana na baba yake. Ni karibu na nyumban kabisa. Na kabadilisha jina na hata hakuwaambia familia katokea moshi ipi. Nilikuja kwenda moshi baadae nawaulizia wazee wenzake ndugu zake nimemuona ndugu yao hawakuamin. Nikaja kuwapeleka.. nakumbuka mdogo wake ile kumuona tu alizimia. Tukampeleka mbaliz mision kwa lena. Walikuja kwenda mosh na ndugu zake walimpa shamba la urithi wake akawagaia wanae wawili wameamia moshi ila yule mzee alishafariki.

Duh lakini kugombana na mdingi noma Sana..Bora angetafuta amani Kuna watu Wana hasira..undava undavaa
 
Back
Top Bottom