Miaka 63 baba mdogo hajawahi kurudi nyumbani

Miaka 63 baba mdogo hajawahi kurudi nyumbani

Muda mwingine inakubidi , kukaa pembeni , maana wanadamu wanaokuzunguka ni shida bin taabani , mim naona uzi huu ni mzuri sana , maana una akisi uhalisia wa maisha kabisa , tena bila chenga . Inafikia hatua unaambiwa ww una jaza choo , tu unakuwa mweupe tu , na maneno mengineyo yanayoweza kuku haribu ki fikra kabisa , binafsi mimi baada ya kuona uzi huu nkaona kumbe nikiondoka hapa napokaa itakuwa vyema sana .
 
Muda mwingine inakubidi , kukaa pembeni , maana wanadamu wanaokuzunguka ni shida bin taabani , mim naona uzi huu ni mzuri sana , maana una akisi uhalisia wa maisha kabisa , tena bila chenga . Inafikia hatua unaambiwa ww una jaza choo , tu unakuwa mweupe tu , na maneno mengineyo yanayoweza kuku haribu ki fikra kabisa , binafsi mimi baada ya kuona uzi huu nkaona kumbe nikiondoka hapa napokaa itakuwa vyema sana .
Huu uzi unaweza hamasisha mabaharia kupotea
 
Sasa hizo habari za yupo kilwa, pwani nakadhalika mnazipataje kama hakuna link ya mawasiliano
Watu wanadai walimuona akiwa kwenye harakati za kupigania mkate, na hawakupata muda wa kutosha kuzungumza nae kwasababu hawafahamu kama anatafutwa na familia
 
Unakuta mtu kazamia hapo south Africa kakaa miaka mitatu amerudi Bongo anajiita BahariA a.k.a lijendi kumbe Kuna wakulungwa humu humu nchini mtu kazamia namtumbo akitokea geita kwa miaka 20+ na hawajitapi wako kimyaaaa.

Sasa ukisikia Hawa ndio Mabaharia sio wale wa kuzamia huko kwa madiba.


Tuchukue Dakika 1 ya kukaa kimya kuwakumbuka Hawa mabaharia wa ndani ya nchi.
 
Kutokuludi nyumbani wakati mwingine kunachangiwa na makabila tunayoowa,mfano wengi waliotokea mikoa ya nyanda za juu kusini wakaolea Tanga na Arusha,waligeuzwaa Ma wartchman na wake zao yaani walinzi wa kulinda nyumba zao.NI kweli na wengine wasomi wazuri
 
Kuna jama moja alienda huko, mpaka sasa hajawahi kupata hata green card na hataki kurudi huku japo anajiweza kidogo. Anacho niboa anamchukia Anko M bila sababu

God save us
Huyu bora asirudi maana akirudi atapata tabu sana. Huku anko ndo mpango mzima, utake usitake.
 
Mimi nina binamu yangu anaitwa Maulid, tena kama kuna msaada hapa, tafadhali mtusaidie. Huyu jamaa alikuwa mtulivu sana, na mambo ya kipeke yake hamwambii mtu. Alizaliwa Tanga ila kwa asili Zanzibar, aliondoka nyumbani Tanga akiwa na umri wa miaka 15 tu. Hiyo inapata mwaka 2000,aliondoka mazima. Mara ya mwisho alionekana Airport huko Afrika ya Kusini, Durban ni 2007 akiwa na mwanamke wa kizungu ikisemekana mkewe wakielekea Italy. Anafuga rasta, mwembamba, mweupe kiukweli tunamuhitaji sana sana. Hofu yetu ni kwamba hayupo hai, maana kulingana ma vyanzo vya taarifa alishaanza kuwa mafia, anatembea na pistol mbili mbili, leo kwenye NDEGE kesho kwenye MELI, roho mkononi. Kama kuna yeyote amewahi ishi aidha SOUTH AFRICA, ITALY au Spain naomba tuwasiline pengine akawa na fununu zake. Mama yake amefariki hakutokea, BABA yake amefariki hakutokea, huyu MAULID yuhai kweli? [emoji26]

Mawasiliano 0717281088
0625697394
 
Inauma Sana...hata sisi shangazi yetu alijifungua mwaka 1963! Naskia akawa anatoka kinyesi...jamii ikamtenga..akaona isiwe kesi...ndo hii sasa tunaita "fistula!
Tunajiulizaga sijui alipona au alikufa! Aliondoka na mwanaye😭😭
Unajua huwa najiulizaga sana wewe ni mtu wa namna gani..Yaani kila tukio lazma liwe lishawahi kukupata, kila Aina ya biashara umefanya, majanga yote yamekugusa na ushuhuda unatoa, kila ishu ikizungumzia unaijua kasoro siasa tu ndio sikuoni.

Aisee wengine mmebarikiwa sana
 
Back
Top Bottom