Inauma Sana...hata sisi shangazi yetu alijifungua mwaka 1963! Naskia akawa anatoka kinyesi...jamii ikamtenga..akaona isiwe kesi...ndo hii sasa tunaita "fistula!
Tunajiulizaga sijui alipona au alikufa! Aliondoka na mwanaye😭😭
pole sana sista, mmewahi kujaribu kumtafuta?Inauma Sana...hata sisi shangazi yetu alijifungua mwaka 1963! Naskia akawa anatoka kinyesi...jamii ikamtenga..akaona isiwe kesi...ndo hii sasa tunaita "fistula!
Tunajiulizaga sijui alipona au alikufa! Aliondoka na mwanaye[emoji24][emoji24]
Very sad ....pole sana ndugu yangu ...huenda kuna siku tutamwona tena.Inauma Sana...hata sisi shangazi yetu alijifungua mwaka 1963! Naskia akawa anatoka kinyesi...jamii ikamtenga..akaona isiwe kesi...ndo hii sasa tunaita "fistula!
Tunajiulizaga sijui alipona au alikufa! Aliondoka na mwanaye😭😭
DuuuuuHahhaa usimtegemee ndugu aisee...hawafai
Hili neno kutafuta maisha lina maana pana ktk jamii zetu za kitanzania yani mtu anapotea tu kila kukicha...shida tukienda kutafuta kwa hasira au kukacha bila kuoga n shida .Inaonekana kupotea katika familia ya huyo mzee ni kitu cha kawaida aisee..
Babu yangu mzaa baba aliondoka kijijini akamuacha baba mkubwa na mwaka miaka miwili ..Baba angu ndiyo Kwanza mimba ya miezi mnne..alikuja kurudi baba mkubwa ameshamaliza chuo ameanza kazi Baba ndiyo kaja mjini kutafuta maisha.
Hapana....wanadai inawezekana alienda kuolewa huko vijiju..tumebaki na jina tu!pole sana sista, mmewahi kujaribu kumtafuta?
Haha baharia asipomake anaona nongwa kurudi to its origin!Hawa ndio maana halisi ya mabaharia ,
Baba Kuna miaka alienda mwanza huko vijijini akamtafuta Sana hakuna alompa feedback nzur..huwa anahis alienda Musoma..maana kwao ni mpakani nA Musoma hukoHii imeniumiza sana sijui alimwambia nn mwanae alipoulizia kuhusu ndugu zake. Mngejaribu kumtafuta hata huyo mwanae nahisi hata mama mtu atafarijika sana.
Wengi wanaondoka si kwa sababu ya kutafuta , bali ni kuondokana na masimango , chuki , husda , uroho mbaya , na mengineyo ambayo mhusika anataka kuyaacha na kuweka kando ili aishi kwa amani na nafsi yake .
Nina mjomba wangu katokomea kusaka Hazina ya Mjerumani, wala hayupo mbali ila ni miaka 16 sasa hataki kurudi kwenye familia yake.
Miaka ya mwanzo alikuwa akija na kuondoka ila walipozidi kumkejeli basi akaona hawa wendawazimu, kapotea mazima.
Miaka ya 90 mwishon nikiwa mbeya tunaenda minadan huko santiria ilembo. Baridi kinoma. Kufika huko cku moja mvua ya kiume ikanyesha. Tulilala juu ya mizigo barid kali kilichotusaidia tulikuwa tunavaa makoti makubwa na kofia zinazofunika mpaka masikio zinaacha sura tu. Sasa nikaambiwa kuna mbabu mmoja mangi mwenzangu kaloea kule. Nikaenda kumuona. Mzee keshakuwa mwenyeji. Katoka moshi mwaka 1958. Ana mke na watoto wakubwa na wasomi wakubwa tu.cha ajabu yule mzee aliniambia alikotokea na hakuwah kurud kisa aligombana na baba yake. Ni karibu na nyumban kabisa. Na kabadilisha jina na hata hakuwaambia familia katokea moshi ipi. Nilikuja kwenda moshi baadae nawaulizia wazee wenzake ndugu zake nimemuona ndugu yao hawakuamin. Nikaja kuwapeleka.. nakumbuka mdogo wake ile kumuona tu alizimia. Tukampeleka mbaliz mision kwa lena. Walikuja kwenda mosh na ndugu zake walimpa shamba la urithi wake akawagaia wanae wawili wameamia moshi ila yule mzee alishafariki.
Nakuona best, upoo!Inauma Sana...hata sisi shangazi yetu alijifungua mwaka 1963! Naskia akawa anatoka kinyesi...jamii ikamtenga..akaona isiwe kesi...ndo hii sasa tunaita "fistula!
Tunajiulizaga sijui alipona au alikufa! Aliondoka na mwanaye[emoji24][emoji24]
Nimejaa tele! Nakula maisha!Nakuona best, upoo!
Hivi na wale waliondoka kwenda utumwani America hawakurudi tena Africa.