Miaka 63 baba mdogo hajawahi kurudi nyumbani

 
Du hatari sana,kule kwetu morogoro watu wa aina hii wapo wengi sana tunabaki huwa tunawashangaa kwanini hawarudi kwao hasa wa kanda ya ziwa
 
Sio kwamba kulikuwa hakuna viti Mkuu ...manake kama hakuna viti ndo mnapiga got kwenye meza .
 
mimi ninachoona kwamba watu hawakatazi mtu kwenda kujitafutia sehemu nyingine,watu hupata mstuko pale unapokata miaka zaidi ya 10+ bila kustuka na hata kujua uliyowaacha wanaishi vipi.

NB;HAPA NDIPO WATU WANAPOJARIBU KUTAFAKARI SHIDA NI NINI KUKATA MIAKA YOTE PASIPO KUSTUKA KURUD NYUMBAN
 
Nina mjomba wangu katokomea kusaka Hazina ya Mjerumani, wala hayupo mbali ila ni miaka 16 sasa hataki kurudi kwenye familia yake.
Miaka ya mwanzo alikuwa akija na kuondoka ila walipozidi kumkejeli basi akaona hawa wendawazimu, kapotea mazima.
[emoji28][emoji2][emoji23][emoji1787][emoji3][emoji2][emoji23][emoji28][emoji1787][emoji2]
 
Huu ndo ukweli kwa 200%.
 
mwana misalaba ni mama yako?
 
haha kweli kabisa, ndio yale ukiwa unaumwa hakuna anaejali, siku ukifa watu ndio wanajifanya wana uchungu sana. unafiki mtupu
 
Duh......hatari. Kumbe kila familia pengine mambo haya yapo.

Babu yangu mdogo pia pia aliondoka nyumbani miaka (inasemekana alienda Tanga) akiwa bado kijana, akazamia huko mpaka leo hajarudi (likely ameshakufa, au ni yupo hai basi ni mzee sana 100+yrs). Inawezekana alianzisha familia huko, lakini hatujuani kabisa.

Huwa najaribu ku search jina la ukoo lakini sijawahi kupata hata hint za uwepo wa ndugu huko......

But wakati mwingine najiuliza, nawatafuta ili iweje? Maana hamna bond kabisa....hata kama mtaonana.
 
Kuna sehemu tuliambiwa yupo tukaenda huko tukaambiwa mtu Kama huyo alipita hapo miaka 3 iliyopita.
Juzi tumemzika mjukuu wake( hajawahi kumuona) Basi tukapita kwenye kaburi la Babu na Bibi ,kilio kikaanza kuwalilia Kama wanaweza huko uliko wamuombee apate kurudishia home Kama yupo hai
 
Wengi wazamiaji wakifa mahali wanakuwa kama mazezeta hata uunzishaji wa familia unakuwa zero...n kutembea tu
 
Reactions: SMU
Duuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…