Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Hana hata chakusema mara aliondoka tuMke anasemaje?? Duh..hiyo so kawaida...duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana hata chakusema mara aliondoka tuMke anasemaje?? Duh..hiyo so kawaida...duh
Katika familia kuna siri nyingi sana ambazo unaweza usizijue na ukadhani aliyeondoka ni mjinga na hajielewi. Familia nyingi duniani ni za kijinga na kipuuzi sana, zimejaa chuki, khusda, mauaji ya kichawi, kuharibiana nyota n.k. wengi huondoka na wasirudi tena na haijaanzia leo ni tangu kuja kwa mwanadamu.
Jambo pekee ni kumuamini Mungu pekee na sio hao wazazi, ndugu au rafiki kwani nao hao ni binadamu na wanayo mapungufu yao kibao.
Binafsi naishi Mkoa tofauti na sifikirii si tu kurudi bali hata kupata Mke kutoka eneo hilo maana hilo eneo kwangu ni hatari, kwasasa narudi kwakuwa mmoja wa walionizaa yupo hai na si vinginevyo.
Binadamu ukiwaweka sana kichwani mambo yako hayaendi, utalost, na mbaya zaidi ukisimamia future yao na yako mtalost nyote maana kuna wengine ni masikio ya kufa na umasikini.
Kijana amka na upambane na uache imani kuwa zipo dawa utafanya kumrudisha ndugu aliyepotea home muwe nae, zaidi mutamsema kuwa kala maisha na hakuwajali.
Jitahidini mfanye yenu na yake muachieni Mungu kwani uliyeandika huu uzi hauwezi kujua hao unaoita nduguzo ulionao hapo home walimfanyia jambo gani huyo Mzee.. maybe walitaka kumuua, kumuweka msukule, kumharibia kwa namna yoyote ile, jitahidi uwafahamu binadamu, itakusaidia sana pale watakapokufanyia mambo ya hovyo.
USIMWAMINI HUYO ULIYEKAA NAYE KARIBU YAWEZEKANA ANAKUFICHA UKWELI WA HILI ULILOLIANDIKA HAPA, SIKU UKIJUA UKWELI UTAMCHUKIA NA KUMSIFU SHUJAA ALIEKIMBIA TANGU 1957
Huenda na mambo ya ndoa...pole sanaHana hata chakusema mara aliondoka tu
Hahahaaa......ndugu ni hovyo sana na tena wanakuwa hovyo sana pale wanapotafunwa na ufukara na ujinga.Ungechelea kuandika ningeandika mimi,
Hakunaga amani wala furaha ndugu wote mkiwa pamoja,afadhali upotee wajue kwa sasa huyu hatunae kuliko kua nao karibu
Umenikumbusha kisa cha profesa mmoja alinogewa na penzi la kimada baa medi hadi kamjengea na kuhamia kwake for good huku akiwa na mke wa ujana wake; mke wa ndoa waliyechuma pamoja. Miaka ikasonga akaugua ngoma hali ilipokuwa ngumu kimada akamtimua. Akaombewa msamaha kwa mkewe akarudi kuugulia pale hadi mauti. Wapendwa tupende na kuthamini kwetu tungali wazima wa afya, wenye nguvu, na nafasi kiuchumi. Tusisubiri hadi tukongoroke.
Kuna watu wanapenda kujali vitu vidogo vidogo dah wanadamu tunatofautiana.Yani mtu anashindana na maandishi kama vile mnajuana live.Labda nimewahi mdekea snipe hela..muulize ajibu hapa...mijitu mijinga Sana humu...una stress za maisha hangaija nazo mwenyewe
Kwanini asiende kwa mama yake au ndugu zake maana ndugu huwa na mawasiliano ya ndugu yao, halafu mtu anajiita kichwa cha familia! Huyo sasa alikuwa KALIO la familiaUmenikumbusha kisa cha profesa mmoja alinogewa na penzi la kimada baa medi hadi kamjengea na kuhamia kwake for good huku akiwa na mke wa ujana wake; mke wa ndoa waliyechuma pamoja. Miaka ikasonga akaugua ngoma hali ilipokuwa ngumu kimada akamtimua. Akaombewa msamaha kwa mkewe akarudi kuugulia pale hadi mauti. Wapendwa tupende na kuthamini kwetu tungali wazima wa afya, wenye nguvu, na nafasi kiuchumi. Tusisubiri hadi tukongoroke.
Yaani, asante mpendwa wanguHuenda na mambo ya ndoa...pole sana
Wajukuu wanaendeleaje?Marahaba
Tunakuhitaji bado mkuuMe mwenyewe ninampango nisepe nisijulikane nilipo maana nina ndugu. SIONI IMPACT YAO KABISAAAA
Huyo kibokoKuna binamu yangu tokea mwaka 1998 alienda kutafuta maisha mkoa tofauti akazamia moja kwa moja hadi leo, tunasikia habari tu mara yupo kilwa, pwani, morogoro nk, hakuna mawasiliano na baba yake wala mama yake.
Heko mkuu, we vizuri unawajua wanadamuKatika familia kuna siri nyingi sana ambazo unaweza usizijue na ukadhani aliyeondoka ni mjinga na hajielewi. Familia nyingi duniani ni za kijinga na kipuuzi sana, zimejaa chuki, khusda, mauaji ya kichawi, kuharibiana nyota n.k. wengi huondoka na wasirudi tena na haijaanzia leo ni tangu kuja kwa mwanadamu.
Jambo pekee ni kumuamini Mungu pekee na sio hao wazazi, ndugu au rafiki kwani nao hao ni binadamu na wanayo mapungufu yao kibao.
Binafsi naishi Mkoa tofauti na sifikirii si tu kurudi bali hata kupata Mke kutoka eneo hilo maana hilo eneo kwangu ni hatari, kwasasa narudi kwakuwa mmoja wa walionizaa yupo hai na si vinginevyo.
Binadamu ukiwaweka sana kichwani mambo yako hayaendi, utalost, na mbaya zaidi ukisimamia future yao na yako mtalost nyote maana kuna wengine ni masikio ya kufa na umasikini.
Kijana amka na upambane na uache imani kuwa zipo dawa utafanya kumrudisha ndugu aliyepotea home muwe nae, zaidi mutamsema kuwa kala maisha na hakuwajali.
Jitahidini mfanye yenu na yake muachieni Mungu kwani uliyeandika huu uzi hauwezi kujua hao unaoita nduguzo ulionao hapo home walimfanyia jambo gani huyo Mzee.. maybe walitaka kumuua, kumuweka msukule, kumharibia kwa namna yoyote ile, jitahidi uwafahamu binadamu, itakusaidia sana pale watakapokufanyia mambo ya hovyo.
USIMWAMINI HUYO ULIYEKAA NAYE KARIBU YAWEZEKANA ANAKUFICHA UKWELI WA HILI ULILOLIANDIKA HAPA, SIKU UKIJUA UKWELI UTAMCHUKIA NA KUMSIFU SHUJAA ALIEKIMBIA TANGU 1957
Ha ha ha ha uzi wa majonzi ila imebidi nicheke kifala[emoji28][emoji28][emoji1787]Unajua huwa najiulizaga sana wewe ni mtu wa namna gani..Yaani kila tukio lazma liwe lishawahi kukupata, kila Aina ya biashara umefanya, majanga yote yamekugusa na ushuhuda unatoa, kila ishu ikizungumzia unaijua kasoro siasa tu ndio sikuoni.
Aisee wengine mmebarikiwa sana
[emoji23][emoji23][emoji23]aiseeUnajua huwa najiulizaga sana wewe ni mtu wa namna gani..Yaani kila tukio lazma liwe lishawahi kukupata, kila Aina ya biashara umefanya, majanga yote yamekugusa na ushuhuda unatoa, kila ishu ikizungumzia unaijua kasoro siasa tu ndio sikuoni.
Aisee wengine mmebarikiwa sana
Anajilegezaje kupitia maandishi?Huyo mtu mie ashanishindaga tabia aisee yan ye kila kitu yupo alafu full kujimwambafai au kujilegeza
Usirudi nyumbani. TutakunyooshaKwanza ni marufuku kula pamoja na wanaume...wanaume wanaweza beba chungu Cha mboga na usifanye kitu![emoji1][emoji1][emoji1]! Mie pia nimepitia Sana unyanyasi huo kwa baba...dogo letu mpk leo wanamtreat Kama mfalme!
Nilifight Sana nikajua shortcut ni mm niwe na life zuri . .Kuna ukandamizaji Sana ..Tena ule wa kuumiza ..huoneshwi hata Hati za viwanja zimeandikwaje...yaan unaishi Kama unaelea hewani tu mradi kuche[emoji38][emoji38]! Yaan wanaume wa kisukuma ni balaa!...hawa dawa yao uwazidi tu wanakuwaga Kama mavifaranga yenye mdondo
Kwahiyo mkuu we umewakimbia ndugu zako?Hahahaaa......ndugu ni hovyo sana na tena wanakuwa hovyo sana pale wanapotafunwa na ufukara na ujinga.
Nashukuru sana Mungu kuliona jengo la chuo kikuu na kunibariki Degree, la sivyo hali cjui ingekuwaje!
Sijawakimbia...nimekaa mbali na wao kuepusha migogoro zaidi kwani niliishi nao pamoja na yaliyonikuta Mungu ndio anajua.Kwahiyo mkuu we umewakimbia ndugu zako?
Hapo sawa mkuuSijawakimbia...nimekaa mbali na wao kuepusha migogoro zaidi kwani niliishi nao pamoja na yaliyonikuta Mungu ndio anajua.
Aisee, hii inasikitisha. Aliondoka kwa huzuni.Inauma Sana. Hata sisi shangazi yetu alijifungua mwaka 1963! Naskia akawa anatoka kinyesi. Jamii ikamtenga, akaona isiwe kesi. Ndo hii sasa tunaita "fistula!
Tunajiulizaga sijui alipona au alikufa! Aliondoka na mwanaye[emoji24][emoji24]