Miaka 63 baba mdogo hajawahi kurudi nyumbani

Katika familia kuna siri nyingi sana ambazo unaweza usizijue na ukadhani aliyeondoka ni mjinga na hajielewi. Familia nyingi duniani ni za kijinga na kipuuzi sana, zimejaa chuki, khusda, mauaji ya kichawi, kuharibiana nyota n.k. wengi huondoka na wasirudi tena na haijaanzia leo ni tangu kuja kwa mwanadamu.

Jambo pekee ni kumuamini Mungu pekee na sio hao wazazi, ndugu au rafiki kwani nao hao ni binadamu na wanayo mapungufu yao kibao.

Binafsi naishi Mkoa tofauti na sifikirii si tu kurudi bali hata kupata Mke kutoka eneo hilo maana hilo eneo kwangu ni hatari, kwasasa narudi kwakuwa mmoja wa walionizaa yupo hai na si vinginevyo.

Binadamu ukiwaweka sana kichwani mambo yako hayaendi, utalost, na mbaya zaidi ukisimamia future yao na yako mtalost nyote maana kuna wengine ni masikio ya kufa na umasikini.

Kijana amka na upambane na uache imani kuwa zipo dawa utafanya kumrudisha ndugu aliyepotea home muwe nae, zaidi mutamsema kuwa kala maisha na hakuwajali.

Jitahidini mfanye yenu na yake muachieni Mungu kwani uliyeandika huu uzi hauwezi kujua hao unaoita nduguzo ulionao hapo home walimfanyia jambo gani huyo Mzee.. maybe walitaka kumuua, kumuweka msukule, kumharibia kwa namna yoyote ile, jitahidi uwafahamu binadamu, itakusaidia sana pale watakapokufanyia mambo ya hovyo.

USIMWAMINI HUYO ULIYEKAA NAYE KARIBU YAWEZEKANA ANAKUFICHA UKWELI WA HILI ULILOLIANDIKA HAPA, SIKU UKIJUA UKWELI UTAMCHUKIA NA KUMSIFU SHUJAA ALIEKIMBIA TANGU 1957

Ungechelea kuandika ningeandika mimi,
Hakunaga amani wala furaha ndugu wote mkiwa pamoja,afadhali upotee wajue kwa sasa huyu hatunae kuliko kua nao karibu
 
Hahahaaa......ndugu ni hovyo sana na tena wanakuwa hovyo sana pale wanapotafunwa na ufukara na ujinga.
Nashukuru sana Mungu kuliona jengo la chuo kikuu na kunibariki Degree, la sivyo hali cjui ingekuwaje!
 
Mkuu hii ni kijitonyama au nachanganya madesa[emoji23]
Umenikumbusha kisa cha profesa mmoja alinogewa na penzi la kimada baa medi hadi kamjengea na kuhamia kwake for good huku akiwa na mke wa ujana wake; mke wa ndoa waliyechuma pamoja. Miaka ikasonga akaugua ngoma hali ilipokuwa ngumu kimada akamtimua. Akaombewa msamaha kwa mkewe akarudi kuugulia pale hadi mauti. Wapendwa tupende na kuthamini kwetu tungali wazima wa afya, wenye nguvu, na nafasi kiuchumi. Tusisubiri hadi tukongoroke.
 
Kwanini asiende kwa mama yake au ndugu zake maana ndugu huwa na mawasiliano ya ndugu yao, halafu mtu anajiita kichwa cha familia! Huyo sasa alikuwa KALIO la familia
 
Katika familia kuna siri nyingi sana ambazo unaweza usizijue na ukadhani aliyeondoka ni mjinga na hajielewi. Familia nyingi duniani ni za kijinga na kipuuzi sana, zimejaa chuki, khusda, mauaji ya kichawi, kuharibiana nyota n.k. wengi huondoka na wasirudi tena na haijaanzia leo ni tangu kuja kwa mwanadamu.

Jambo pekee ni kumuamini Mungu pekee na sio hao wazazi, ndugu au rafiki kwani nao hao ni binadamu na wanayo mapungufu yao kibao.

Binafsi naishi Mkoa tofauti na sifikirii si tu kurudi bali hata kupata Mke kutoka eneo hilo maana hilo eneo kwangu ni hatari, kwasasa narudi kwakuwa mmoja wa walionizaa yupo hai na si vinginevyo.

Binadamu ukiwaweka sana kichwani mambo yako hayaendi, utalost, na mbaya zaidi ukisimamia future yao na yako mtalost nyote maana kuna wengine ni masikio ya kufa na umasikini.

Kijana amka na upambane na uache imani kuwa zipo dawa utafanya kumrudisha ndugu aliyepotea home muwe nae, zaidi mutamsema kuwa kala maisha na hakuwajali.

Jitahidini mfanye yenu na yake muachieni Mungu kwani uliyeandika huu uzi hauwezi kujua hao unaoita nduguzo ulionao hapo home walimfanyia jambo gani huyo Mzee.. maybe walitaka kumuua, kumuweka msukule, kumharibia kwa namna yoyote ile, jitahidi uwafahamu binadamu, itakusaidia sana pale watakapokufanyia mambo ya hovyo.

USIMWAMINI HUYO ULIYEKAA NAYE KARIBU YAWEZEKANA ANAKUFICHA UKWELI WA HILI ULILOLIANDIKA HAPA, SIKU UKIJUA UKWELI UTAMCHUKIA NA KUMSIFU SHUJAA ALIEKIMBIA TANGU 1957
Heko mkuu, we vizuri unawajua wanadamu
 
Unajua huwa najiulizaga sana wewe ni mtu wa namna gani..Yaani kila tukio lazma liwe lishawahi kukupata, kila Aina ya biashara umefanya, majanga yote yamekugusa na ushuhuda unatoa, kila ishu ikizungumzia unaijua kasoro siasa tu ndio sikuoni.

Aisee wengine mmebarikiwa sana
Ha ha ha ha uzi wa majonzi ila imebidi nicheke kifala[emoji28][emoji28][emoji1787]
 
Unajua huwa najiulizaga sana wewe ni mtu wa namna gani..Yaani kila tukio lazma liwe lishawahi kukupata, kila Aina ya biashara umefanya, majanga yote yamekugusa na ushuhuda unatoa, kila ishu ikizungumzia unaijua kasoro siasa tu ndio sikuoni.

Aisee wengine mmebarikiwa sana
[emoji23][emoji23][emoji23]aisee

Kingsmann
 
Kwanza ni marufuku kula pamoja na wanaume...wanaume wanaweza beba chungu Cha mboga na usifanye kitu![emoji1][emoji1][emoji1]! Mie pia nimepitia Sana unyanyasi huo kwa baba...dogo letu mpk leo wanamtreat Kama mfalme!
Nilifight Sana nikajua shortcut ni mm niwe na life zuri . .Kuna ukandamizaji Sana ..Tena ule wa kuumiza ..huoneshwi hata Hati za viwanja zimeandikwaje...yaan unaishi Kama unaelea hewani tu mradi kuche[emoji38][emoji38]! Yaan wanaume wa kisukuma ni balaa!...hawa dawa yao uwazidi tu wanakuwaga Kama mavifaranga yenye mdondo
Usirudi nyumbani. Tutakunyoosha
 
Back
Top Bottom