Miaka 77 ya UHURU miaka 3,000 ya Umri historia imejirudia Israel

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Miaka 77. Bila shaka, Israel ilirudi katika nchi ya mababu zao na kujenga taifa ambalo linastawi katika eneo ambalo halijawahi kuwataka hapo . Wameshambuliwa, Wamesusiwa, wamesemewa uongo, Wamechukiwa-na bado wanakuwa na kustawi. Wanavumbua vitu ambavyo kwa mwanadamu wa kawaida anashangaa . Wana uwezo wa kujitetea kuliko kipindi cha FARAO ,wafirist,Hitler na magaidi kama vile Hamas,Hezbollah na Houth na Bwana wao Iran hadi leo hii wanaishi kwenye nchi yao pendwa sana Israel. 🇮🇱

Israeli ni muujiza. Si kwa sababu tuliokoka, bali kwa sababu wameumbwa na nguvu zaidi.

Mashujaa wao kila walilolifanya Mungu wao hakuwaacha kamwe.

Heri ya Miaka 77, Israeli. Hakuna mtu atakayevunja moyo kwa kile mnachokitetea na kujilinda. Hata chawa wa magaidi Ritz mdogoye Adiosamigo na wana wa mbwa wote hawataweza milele. LONG LIVE ISRAEL 🇮🇱!!!!
 
Attachments

  • IMG_2684.jpeg
    IMG_2684.jpeg
    148 KB · Views: 30
Kwani Israeli ni taifa au dini kaka.

Na chuki yako ni kwa asokuwa muisraeli kwa misingi ya utaifa au kwa misingi ya udini.
Kwa maana hiyo wewe una chuki na wayahudi? Maana huishi kulalamika chuki!! Chuki!!!! Chukii!!
Na kuhoji utaifa wa Israel hizo chuki zako zitakuua bure tafuta pesa acha ujinga wa kupandikiziwa na Wafuga Midevu na Majini!!!
 
Miaka 77. Bila shaka, Israel ilirudi katika nchi ya mababu zao na kujenga taifa ambalo linastawi katika eneo ambalo halijawahi kuwataka hapo . Wameshambuliwa, Wamesusiwa, wamesemewa uongo, Wamechukiwa-na bado wanakuwa na kustawi. Wanavumbua vitu ambavyo kwa mwanadamu wa kawaida anashangaa . Wana uwezo wa kujitetea kuliko kipindi cha FARAO ,wafirist,Hitler na magaidi kama vile Hamas,Hezbollah na Houth na Bwana wao Iran hadi leo hii wanaishi kwenye nchi yao pendwa sana Israel. 🇮🇱

Israeli ni muujiza. Si kwa sababu tuliokoka, bali kwa sababu wameumbwa na nguvu zaidi.

Mashujaa wao kila walilolifanya Mungu wao hakuwaacha kamwe.

Heri ya Miaka 77, Israeli. Hakuna mtu atakayevunja moyo kwa kile mnachokitetea na kujilinda. Hata chawa wa magaidi Ritz mdogoye Adiosamigo na wana wa mbwa wote hawataweza milele. LONG LIVE ISRAEL 🇮🇱!!!!
Netanyahu mpoland,jina lake benjamin benzion mileikowsk,hao ni wazungu,acha kulazimisha mambo
 
Miaka 77. Bila shaka, Israel ilirudi katika nchi ya mababu zao na kujenga taifa ambalo linastawi katika eneo ambalo halijawahi kuwataka hapo . Wameshambuliwa, Wamesusiwa, wamesemewa uongo, Wamechukiwa-na bado wanakuwa na kustawi. Wanavumbua vitu ambavyo kwa mwanadamu wa kawaida anashangaa . Wana uwezo wa kujitetea kuliko kipindi cha FARAO ,wafirist,Hitler na magaidi kama vile Hamas,Hezbollah na Houth na Bwana wao Iran hadi leo hii wanaishi kwenye nchi yao pendwa sana Israel.
 
Netanyahu mpoland,jina lake benjamin benzion mileikowsk,hao ni wazungu,acha kulazimisha mambo
Kweli wafuga Midevu na Majini akili zenu mnazijua wenyewe!! Wewe Mmatumbi mwenzangu unapata wapi ujasiri wa kung’ang’aniza na kulazimisha watu uraia mwingine? Au kusema hivyo akili yako inakutuma itakuwa kama unavyotaka wewe? Acha ujinga wako!!
 
Acha ujinga WIKIPEDIA hata mimi Mmatumbi naweza kuingia na kuedit nipendavyo nawe unaleta hapa kama ushahidi huo ni U-mama,
Hata hivyo hata awe au asiwe kubwabwaja kwako ni bure huwezi kumbadili awe unavyotaka wewe!!
Wananchi wa Israel wanamkubali na wanamwita Mwamba leo wewe Mmatumbi wa Kilwa-Kivinje unapinga nini? Hapo ndipo uzuzu wako unakoanzia!!!
 
Unabishia ukweli, smortrich m-ukraine, mawaziri wakuu wote wa israel walibadili majina ya kizungu kuwa ya mashariki ya Kati
 
Miaka 77. Bila shaka, Israel ilirudi katika nchi ya mababu zao na kujenga taifa ambalo linastawi katika eneo ambalo halijawahi kuwataka hapo . Wameshambuliwa, Wamesusiwa, wamesemewa uongo, Wamechukiwa-na bado wanakuwa na kustawi. Wanavumbua vitu ambavyo kwa mwanadamu wa kawaida anashangaa . Wana uwezo wa kujitetea kuliko kipindi cha FARAO ,wafirist,Hitler na magaidi kama vile Hamas,Hezbollah na Houth na Bwana wao Iran hadi leo hii wanaishi kwenye nchi yao pendwa sana Israel. 🇮🇱

Israeli ni muujiza. Si kwa sababu tuliokoka, bali kwa sababu wameumbwa na nguvu zaidi.

Mashujaa wao kila walilolifanya Mungu wao hakuwaacha kamwe.

Heri ya Miaka 77, Israeli. Hakuna mtu atakayevunja moyo kwa kile mnachokitetea na kujilinda. Hata chawa wa magaidi Ritz mdogoye Adiosamigo na wana wa mbwa wote hawataweza milele. LONG LIVE ISRAEL 🇮🇱!!!!
Hio post yako inaonyesha mmechanganyikiwa kama bibilia zenu 3000years old and 77 years young ok hio Young tunakubali mlipewa nchi na Uingereza, hio ya 3000 years wapi kulikuwa na nchi inaitwa Israel 😄 🤣
 
Umekosa akili umekuwa kila kitu udini!! Hapo Biblia imeingiaje? Unataka na mimi nikuige ili muanze kulalamika? Acheni ujinga!!!!
 
We mapenzi yako kwa Israel ni nini kama sio ukanisa 😄 🤣
 
Umekuwa mjinga kila kitu unaongea dini hata ambapo hapahusiki!!
Hi mada faida yake nini? Kama sio ukanisa, kwanini usiongelee nchi za Africa zilizo fikisha umri wa miaka 77 au 100 ulete Israel. We ni mpumbafu kazi kutafuna kucha ukiwaza ulete mada gani kuhusu Israel. Hebu tupe faida ya hi mada. Au unataka na mimi nilete Saud Arabia ina miaka mingapi sasa 😄 🤣
 
Israel ilirudi katika nchi ya mababu zao
Hujitambui, Abraham alitokea Ur huko chaldea kwa sasa eneo lililopo Syria na Iraq..... Abraham alikua mhamiaji tu hapo Canaan na alikuta tayari kuna mfalme kasome Mwanzo 13!!

So sio kweli kwamba hapo ni kwa mababu zao, ila mababu zao wapo huko Syria. In fact wake wote wa Yakobo wanatokea Syria ya leo so hao watoto ni zao la uarabuni huko sio Israel.
 
Back
Top Bottom