komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 2,742
- 3,523
Hujajibu swali. Kama Benjamin Netanyahu ni Mpoland, alijifunza lini kiebrania ? Alitoka Poland alijua au alizaliwa Israel?Baba yake ni benzion mileikowsk, wayahudi/zayuni walipovamia palestina wakajipa majina ya kiebrania