Miaka 77. Bila shaka, Israel ilirudi katika nchi ya mababu zao na kujenga taifa ambalo linastawi katika eneo ambalo halijawahi kuwataka hapo . Wameshambuliwa, Wamesusiwa, wamesemewa uongo, Wamechukiwa-na bado wanakuwa na kustawi. Wanavumbua vitu ambavyo kwa mwanadamu wa kawaida anashangaa . Wana uwezo wa kujitetea kuliko kipindi cha FARAO ,wafirist,Hitler na magaidi kama vile Hamas,Hezbollah na Houth na Bwana wao Iran hadi leo hii wanaishi kwenye nchi yao pendwa sana Israel. [emoji1134]
Israeli ni muujiza. Si kwa sababu tuliokoka, bali kwa sababu wameumbwa na
nguvu zaidi.
Mashujaa wao kila walilolifanya Mungu wao hakuwaacha kamwe.
Heri ya Miaka 77, Israeli. Hakuna mtu atakayevunja moyo kwa kile mnachokitetea na kujilinda. Hata chawa wa magaidi
Ritz mdogoye Adiosamigo na wana wa mbwa wote hawataweza milele. LONG LIVE ISRAEL [emoji1134]!!!!