Kwani Israeli ni taifa au dini kaka.๐ฎ๐ฑ๐ฎ๐ฑ๐ฎ๐ฑ
Kwa maana hiyo wewe una chuki na wayahudi? Maana huishi kulalamika chuki!! Chuki!!!! Chukii!!Kwani Israeli ni taifa au dini kaka.
Na chuki yako ni kwa asokuwa muisraeli kwa misingi ya utaifa au kwa misingi ya udini.
Netanyahu mpoland,jina lake benjamin benzion mileikowsk,hao ni wazungu,acha kulazimisha mamboMiaka 77. Bila shaka, Israel ilirudi katika nchi ya mababu zao na kujenga taifa ambalo linastawi katika eneo ambalo halijawahi kuwataka hapo . Wameshambuliwa, Wamesusiwa, wamesemewa uongo, Wamechukiwa-na bado wanakuwa na kustawi. Wanavumbua vitu ambavyo kwa mwanadamu wa kawaida anashangaa . Wana uwezo wa kujitetea kuliko kipindi cha FARAO ,wafirist,Hitler na magaidi kama vile Hamas,Hezbollah na Houth na Bwana wao Iran hadi leo hii wanaishi kwenye nchi yao pendwa sana Israel. ๐ฎ๐ฑ
Israeli ni muujiza. Si kwa sababu tuliokoka, bali kwa sababu wameumbwa na nguvu zaidi.
Mashujaa wao kila walilolifanya Mungu wao hakuwaacha kamwe.
Heri ya Miaka 77, Israeli. Hakuna mtu atakayevunja moyo kwa kile mnachokitetea na kujilinda. Hata chawa wa magaidi Ritz mdogoye Adiosamigo na wana wa mbwa wote hawataweza milele. LONG LIVE ISRAEL ๐ฎ๐ฑ!!!!
Miaka 77. Bila shaka, Israel ilirudi katika nchi ya mababu zao na kujenga taifa ambalo linastawi katika eneo ambalo halijawahi kuwataka hapo . Wameshambuliwa, Wamesusiwa, wamesemewa uongo, Wamechukiwa-na bado wanakuwa na kustawi. Wanavumbua vitu ambavyo kwa mwanadamu wa kawaida anashangaa . Wana uwezo wa kujitetea kuliko kipindi cha FARAO ,wafirist,Hitler na magaidi kama vile Hamas,Hezbollah na Houth na Bwana wao Iran hadi leo hii wanaishi kwenye nchi yao pendwa sana Israel.
Kweli wafuga Midevu na Majini akili zenu mnazijua wenyewe!! Wewe Mmatumbi mwenzangu unapata wapi ujasiri wa kungโangโaniza na kulazimisha watu uraia mwingine? Au kusema hivyo akili yako inakutuma itakuwa kama unavyotaka wewe? Acha ujinga wako!!Netanyahu mpoland,jina lake benjamin benzion mileikowsk,hao ni wazungu,acha kulazimisha mambo
Kweli wafuga Midevu na Majini akili zenu mnazijua wenyewe!! Wewe Mmatumbi mwenzangu unapata wapi ujasiri wa kungโangโaniza na kulazimisha watu uraia mwingine? Au kusema hivyo akili yako inakutuma itakuwa kama unavyotaka wewe? Acha ujinga wako!!
Acha ujinga WIKIPEDIA hata mimi Mmatumbi naweza kuingia na kuedit nipendavyo nawe unaleta hapa kama ushahidi huo ni U-mama,
Unabishia ukweli, smortrich m-ukraine, mawaziri wakuu wote wa israel walibadili majina ya kizungu kuwa ya mashariki ya KatiAcha ujinga WIKIPEDIA hata mimi Mmatumbi naweza kuingia na kuedit nipendavyo nawe unaleta hapa kama ushahidi huo ni U-mama,
Hata hivyo hata awe au asiwe kubwabwaja kwako ni bure huwezi kumbadili awe unavyotaka wewe!!
Wananchi wa Israel wanamkubali na wanamwita Mwamba leo wewe Mmatumbi wa Kilwa-Kivinje unapinga nini? Hapo ndipo uzuzu wako unakoanzia!!!
NdiondioWatakatifu wa kiislamu wa Kazuramimba!!
Hio post yako inaonyesha mmechanganyikiwa kama bibilia zenu 3000years old and 77 years young ok hio Young tunakubali mlipewa nchi na Uingereza, hio ya 3000 years wapi kulikuwa na nchi inaitwa Israel ๐ ๐คฃMiaka 77. Bila shaka, Israel ilirudi katika nchi ya mababu zao na kujenga taifa ambalo linastawi katika eneo ambalo halijawahi kuwataka hapo . Wameshambuliwa, Wamesusiwa, wamesemewa uongo, Wamechukiwa-na bado wanakuwa na kustawi. Wanavumbua vitu ambavyo kwa mwanadamu wa kawaida anashangaa . Wana uwezo wa kujitetea kuliko kipindi cha FARAO ,wafirist,Hitler na magaidi kama vile Hamas,Hezbollah na Houth na Bwana wao Iran hadi leo hii wanaishi kwenye nchi yao pendwa sana Israel. ๐ฎ๐ฑ
Israeli ni muujiza. Si kwa sababu tuliokoka, bali kwa sababu wameumbwa na nguvu zaidi.
Mashujaa wao kila walilolifanya Mungu wao hakuwaacha kamwe.
Heri ya Miaka 77, Israeli. Hakuna mtu atakayevunja moyo kwa kile mnachokitetea na kujilinda. Hata chawa wa magaidi Ritz mdogoye Adiosamigo na wana wa mbwa wote hawataweza milele. LONG LIVE ISRAEL ๐ฎ๐ฑ!!!!
Umekosa akili umekuwa kila kitu udini!! Hapo Biblia imeingiaje? Unataka na mimi nikuige ili muanze kulalamika? Acheni ujinga!!!!Hio post yako inaonyesha mmechanganyikiwa kama bibilia zenu 3000years old and 77 years young ok hio Young tunakubali mlipewa nchi na Uingereza, hio ya 3000 years wapi kulikuwa na nchi inaitwa Israel ๐ ๐คฃ
We mapenzi yako kwa Israel ni nini kama sio ukanisa ๐ ๐คฃUmekosa akili umekuwa kila kitu udini!! Hapo Biblia imeingiaje? Unataka na mimi nikuige ili muanze kulalamika? Acheni ujinga!!!!
Hi mada faida yake nini? Kama sio ukanisa, kwanini usiongelee nchi za Africa zilizo fikisha umri wa miaka 77 au 100 ulete Israel. We ni mpumbafu kazi kutafuna kucha ukiwaza ulete mada gani kuhusu Israel. Hebu tupe faida ya hi mada. Au unataka na mimi nilete Saud Arabia ina miaka mingapi sasa ๐ ๐คฃUmekuwa mjinga kila kitu unaongea dini hata ambapo hapahusiki!!
Hujitambui, Abraham alitokea Ur huko chaldea kwa sasa eneo lililopo Syria na Iraq..... Abraham alikua mhamiaji tu hapo Canaan na alikuta tayari kuna mfalme kasome Mwanzo 13!!Israel ilirudi katika nchi ya mababu zao