Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Dah aisee nature haipo fair kabisa! At 22 mtu anatwaa tuzo kubwa namna hiyo na kuuteka ulimwengu, leo hii mimi naelekea kuiaga 22 ila sina chochote naisoma namba tu
La pulga hamna wa kumfananisha nae
Nilijua Ronaldinho ila huyu naye ni the King
Kuna upendeleo fulani ulifanyika katika uumbaji. Nina mashaka na Afrikaππ Mkuu je mimi nilievuka hiyo namba si ni balaa,,
Kuna upendeleo fulani ulifanyika katika uumbaji. Nina mashaka na Afrika
Ronaldinho Gaucho habari nyingine kabsaa...Ha ha haa Gaucho nae amekuwa mfalme? Itabidi na iniesta na okocha tuwape ufalme kama ni hivyo...
Ronaldinho Gaucho habari nyingine kabsaa...
Nilijua Ronaldinho ila huyu naye ni the King
La pulga hamna wa kumfananisha nae
Mmmmmmmh nakuangalia tu unavyojiongelesha kwaio we umeona messi ndie kila kitu kwako mtu ambaye timu ya taifa anaoneka kama mkimbiaji tu mule uwanjani. punguza mahaba wewe kuna wataalam wa mpira ambao kila timu wao hawachuji iwe club au nation team na sio hicho kipisi chako kinachoitwa messi ambacho kikiwakosa wakina iniesta na bosquet kinakuwa kama kiporo cha ugali kilichokoswa mbogaNani kama Messi katika soka? Nitapata kuwahadithia wajukuu zangu kulikuwa na mfalme wa soka mmoja tu na wapili ni maradona tu,,,waliobakia waunge tera liondoke
Embu kua basi acha utotoNinashangaa wengine wanakuja kumlinganisha na Gaucho. Messi huyu huyu tunaemjua? Gaucho hana hadhi kwa Mfalme.ni udhalilishaji kabisa
Embu kua basi acha utoto
Hahahah! Acha walio duniani waendelee kula maisha ipasavyo. Sisi tunawasindikiza tuππππ Afrika sijui tumerogwa na nani aise!