Miaka 8 iliyopita siku kama hii ya leo Mfalme alitwaa Ballon d'Or yake ya kwanza.

Miaka 8 iliyopita siku kama hii ya leo Mfalme alitwaa Ballon d'Or yake ya kwanza.

Abu Ubaidah Commando

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
7,591
Reaction score
6,946
20171201_155342.png

Miaka 8 iliyopita siku kama hii ya leo, kinda wa miaka 22/Mfalme wa soka ulimwenguni kuwahi kutokea Leo Messi10 alitwaa Ballon d'Or yake ya kwanza.

Karibuni wadau na wapenzi wa soka

Cc:

  • Mussolin5
  • PNC
  • Sergio5
  • CleverKing n.k
 
Nilijua Ronaldinho ila huyu naye ni the King

Gaucho matako yake. Messi habari ya mjini, kipaji kazaliwanacho.

Ni nani kaipatia mafanikio timu yake?? Ni nani kabeba ballon d'Or nyingi?? Ni nani kachukua uchezaji bora wa dunia mara nyingi?? Ni nani kaipatia makombe mengi ya La liga/uefa na mengineyo mengi tu?? Mkono umechoka kuandika....wengine waje waendelee kuweka mafanikio yake hapa. Sijamaliza bado.......
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nani kama Messi katika soka? Nitapata kuwahadithia wajukuu zangu kulikuwa na mfalme wa soka mmoja tu na wapili ni maradona tu,,,waliobakia waunge tera liondoke
Mmmmmmmh nakuangalia tu unavyojiongelesha kwaio we umeona messi ndie kila kitu kwako mtu ambaye timu ya taifa anaoneka kama mkimbiaji tu mule uwanjani. punguza mahaba wewe kuna wataalam wa mpira ambao kila timu wao hawachuji iwe club au nation team na sio hicho kipisi chako kinachoitwa messi ambacho kikiwakosa wakina iniesta na bosquet kinakuwa kama kiporo cha ugali kilichokoswa mboga
 
Embu kua basi acha utoto

Mimi ni mtu mzima mkuu. kwenye ukweli uongo hujitenga. Messi kawapiku Maradona cruiff,de stephano,Pele na zidane .....Sembuse gaucho!!! Wakati top 10 yenyewe hayumo huyo gacho alafu umlinganishe na mchezaji bora mara 5 na ballon d'Or 5 na kaipatia timu yake makombe ya kufa mtu ukilinganisha na players waliopita na waliopo sasa. Hata mtoto mdogo atakucheka akikusikia ukimponda mfalme na kumkubali MAUNO
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kwani CR7 alichukua do'r mara ya kwanza akiwa na miaka mingapi!?!?
 
Back
Top Bottom