jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
We bado mdogo endelea kutafuta taarifa.Pole Sana na umasikini wako,ukubali utaishi kwa amani,hatuwezi fanana,halafu mzee mwinyi na familia yake swala tano,mema duniani,mema akhera
Wachawi Wana dawa za kuongeza umri wa kuishi muda mrefu.Alikuambia nani kuwa ukitenda mabaya ndo utawah kufa? Kuna wachawi huwa wanachelewa kufa sana alafu wasumbufu mno kwenye mwisho wao!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliachiwa nchi maskini sana na Nyerere. Tulikuwa tumetoka vitani mwaka 1978 madhara yake yakiwa dhahiri kwa kila sekta.
Ndio miaka ya mwanzoni ile, tofauti na hawa kina Samia na hayati JPM waliokuta kuna wasomi wa kila aina.
Uzuri Mungu hapangiwi,godfather wenu alishamnyakua na kutupa aliyepo.[emoji16][emoji16][emoji16]Alijitahidi chini ya Nyerere. Alipochukua nchi kila kitu alisikiliza Mabeberu, IMF, World Bank.
Aliuza kila kitu, kuviweka vyote sekta binafsi. Walipewa kama bure sekta zote muhimu Mafisadi wote. Matajiri wa sasa. Madhara yake tunapambana nayo hadi leo.
Mrema alipambana akamshinda kwenye uchaguzi. Nyerere alimuunga mkono Mrema kugombea, kui -challenge CCM.
Sababu kubwa ni uhuni kama huu unaondeleo. Unahitaji watu kama JPM, Mrema, Nyerere watu kama hao kuutokomeza.
Hakuna ushahidi wa kuuza kila kitu ni habari zile zile za kizushi za watanzania. Wakasema mke wake na hayati Hassan Diria walikuwa wauza madawa ya kulevya. Sio habari za kweli.Aliuza kila kitu kitu. Mke wake alikuwa dalali. Nyerere alisikitika sana.
Kuna vitu vya msingi lazima viwe ndani ya serikali kama miundombinu, mashirika ya umeme, maji, mafuta, nyumba nafuu nk.
Nitafutie taarifa juu ya nini!?..nimezaliwa kabla ya mwinyi kushika hatamuWe bado mdogo endelea kutafuta taarifa.
Hivyo ndivyo ulivyoelewa!!..huna hadubini ya kifikraPole wewe usiyeelewa kitu amekuambia anakula nchi kote kote umeelewa nn unajib vipi bila kuelewa kuuliza unalipia gharama
Kama hutojali unaweza kutufafanulia para ya tatu?Alijitahidi chini ya Nyerere. Alipochukua nchi kila kitu alisikiliza Mabeberu, IMF, World Bank.
Aliuza kila kitu, kuviweka vyote sekta binafsi. Walipewa kama bure sekta zote muhimu Mafisadi wote. Matajiri wa sasa. Madhara yake tunapambana nayo hadi leo.
Mrema alipambana akamshinda kwenye uchaguzi. Nyerere alimuunga mkono Mrema kugombea, kui -challenge CCM.
Sababu kubwa ni uhuni kama huu unaondeleo. Unahitaji watu kama JPM, Mrema, Nyerere watu kama hao kuutokomeza.
Wewe mjinga tu wazee wa kislam wanaokufa mapema wote ni waovu? Vipi wakristo wazee wapo wengi tu! Udini ndo shida yenu wavaa madera! Vipi akina warioba huwaoni?Pia akina Butiku, Samwel Marechera!Watawala wa kiislamu wanaishi miaka mingi sana sababu huwa hawawatendei mabaya watz, hivyo uombewa heri na wengi.
Kwani hao wazee ni watawala,Wewe mjinga tu wazee wa kislam wanaokufa mapema wote ni waovu? Vipi wakristo wazee wapo wengi tu! Udini ndo shida yenu wavaa madera! Vipi akina warioba huwaoni?Pia akina Butiku, Samwel Marechera!
Dadavua kdg mkuu. How? Maana hata mimi najua ni msafi kama amekula sawa lkn sio kiviiiiile kiasi cha kuwaumiza raia. Au huenda mifumo ya nawasiliana kipindi chake ilikuwa tofauti na Sasa ndio maana mbanga zake nyingi hazikuvunja.Nikiri kwamba sijaisoma makala yote ! Lakini Ali Hassan Mwinyi ndio anakula capacity charges za IPTL ! Hana usafi wowote ule babu yule!!
Ni kiri kwamba sijaisoma makala yote ! Lakini Ali Hassan Mwinyi ndio anakula capacity charges za IPTL ! Hana usafi wowote ule babu yule!!
Kumbe hii kauli ilitoka kwake!? [emoji848]Happy birth day kwake.
Bado tupo na kumbu kumbu ya kauli yake ya kua katiba sio msaafu.
Na ile ya miaka 30 ya uongozi wao hawakufanya ila mwaka mmoja wa bwana mmoja hivi.
Kauli yako sio sahihi.Na ni hapa marais wastaafu waislam wanapokuwa ni waalimu wa uungwana unaoambatana na maisha marefu
La hasha, bado miaka 7So amekisha miaka 03 kupiga 100