Watu kadhaa naona wanazungumzia uzee wa Mwinyi na dini yake na uchaji wake kwa Mungu wake; mimi sifikirii hivyo kabisa, havina uhusiano wowote wa uzee wake na dini/uchaji wake kwa Mungu; kwanza binafsi siamini kama kuna mwana ccm halafu kiongozi anaweza kua mcha Mungu mwenye HOFU ya Mungu, huyo mtu huko ccm HAYUPO. Nimewaangalia Wazanzibari wengi (bila kujali dini yao) wengi hufariki katika umri wa uzee sana, yupo askofu Ramadhani pia, ukimuona kazeeka but still ana nguvu zake na miwani HAVAI yaani. Nenda tu pale kanisani kwao, pale lilipokua soko la Watumwa, mzee yupo vizuri, alikuwepo pia mzee Jumbe, niliwahi kuishi mitaa ya mjimwema Kigamboni, mzee nae alikufa katika uzee wake mwema; juzi nilisikia baba yake mzee Bilali eti kafariki, kama Bilali baba yake alikua HAI then imagine baba yake alikua na umri gani?
Well. sababu ni nini? Haiwezekani tuseme eti Zanzibar ndio wanasali sana halafu bara hawasali, sio kweli...! Bara pia wanasali, Kigoma huko, Dar, Tabora kote huko kuna wapiga mkeka tena sana tu; binafsi nafikiri ni issue ya nidhani katika KULA chakula chao, Wazanzibar hawana Diner, ile chakula tunayo kula huku Bara asubuhi, wao ndio chakula yao ya USIKU and hence matumbo yao huaga yapo empty wakati wanaingai kitandani hence storage ya mafuta, sukari/wanga inakua kidogo sana na hivyo vitu huaga vina haribu sana nguvu ya macho of course na magonjwa nyemelezi as well. Hu ni utafiti wangu, mwingine nae anaweza kuja na story tofauti but ninacho sisitiza hapa SIO dini wala ucha Mungu; siamini kama eti kuna mwana ccm halafu KIONGOZI kabisa anaweza kua na HOFU ya Mungu; hakuna huko!