Miaka 97 ya Mzee Mwinyi na amani ya moyoni pasipo nongwa na visasi

Miaka 97 ya Mzee Mwinyi na amani ya moyoni pasipo nongwa na visasi

ninefafanua kwa waliokuwa wanahoji uhalali wa ukwasi wake lakini pia kuonesha jinsi uungwana na nafsi njema inavyobariki hadi kizazi chako

…kama umekwazika niwie radhi
Mada ni Mzee Mwinyi na ukosefu wake wa nongwa zenye kuongeza maadui na hasira,Hayo ya watoto na wakwe zake yanamhusu binafsi.
 
Sera yake ilikuwa kila kitu rukhsa. Unaruhusiwa.

Unaruhusìwa kuuza mali zote za serikali, kuuuza kwa washikaji wako kwa bei za sigara moja. kuuza unga mtaaani. Kufanya chochote. Sera hizi ndio zilizoua miundombinu yote muhimu ya kuwasaidia Watz.
Ufafanuzi wako umezidi kunichanganya. Kule umezungumzia uchaguzi, hapa unazungumzia ubinafsishaji.

Anyway thank you kwa majibu mazuri.
 
yapo maeneo kadhaa alimkazia Nyerere pamoja na wahafidhina wa Udsm ambao walikuwa na nguvu sana miaka hiyo
Mwinyi ndio Rais ambaye alikuwa anaongoza kwa mawazo ya Nyerere kutokea Butiama.

Alishinikizwa sana ikiwemo hata kuvunja baraza la mawaziri mara mbili kwa oda ya mzee mchonga.

Mwinyi wala hakujali, hata lilipokuja suala la maelekezo ya kuwadili Waziri Mkuu na Katibu Mkuu wake wa CCM bwana Kolimba bado aliendelea kuwa mtulivu.

Huyu pengine anabakia kuwa Rais ambaye hakutawala kwa matakwa yake, Rais ambaye hakuwa na mamlaka! Lakini hakuwa na chuki wala kinyongo, leo hii ametimiza miaka 97.

Heri ya kuzaliwa kwa mzee Ali Hassan Mwinyi...Mwenyezi Mungu akutunze zaidi!
 
Aliuza kila kitu kitu. Mke wake alikuwa dalali. Nyerere alisikitika sana.

Kuna vitu vya msingi lazima viwe ndani ya serikali kama miundombinu, mashirika ya umeme, maji, mafuta, nyumba nafuu nk.
Mwinyi alifanya kazi nzuri Sana. Yeye Nyerere alisikitika vipi na aliacha Taifa likiwa kwenye dhiki kuu, nidhamu ya woga na umaskini wa kutupa. Wajinga walijaa kilaa Kona. Sikiliza kila kiongozi Ana mazuri yake na kiongozi hawezi kufanya yote na ndo maana wanaachiana awamu. Nina uhakika Mwinyi angeamua kukaa miaka aliokaa Nyerere tungefika mbali Sana Sana. Mzee Mwinyi alkua kichwa
 
Wewe mjinga tu wazee wa kislam wanaokufa mapema wote ni waovu? Vipi wakristo wazee wapo wengi tu! Udini ndo shida yenu wavaa madera! Vipi akina warioba huwaoni?Pia akina Butiku, Samwel Marechera!
Huyo Warioba hana uzee wa hiivyo, Ni gongo tu inampa uonekano huo wa kizee.
Mtu uko namba 2 kwenye Serikali kwake yeye gongo kama soda mpaka anawakwanza walinzi wake.
Malecela sawa, Butiku kidogo.
 
Ni muasisi ya kuwaweka watoto,wake,washikaju serikalini. Kuafinya nchi iwe ya hovyo sana.
Kama alivyofanya mtanguluzi wake?
Au hujui Warioba,Butiku na Joseph Nyerere waliku wanamahusiano gani na mtanguluzi wa mzee Rukhsa?
 
yapo maeneo kadhaa alimkazia Nyerere pamoja na wahafidhina wa Udsm ambao walikuwa na nguvu sana miaka hiyo
Nadhani moja wapo ni suala la waasi wa Burundi. Serikali inayoongozwa na mzee Rukhsa ilikuwa inaisapoti Serikali ya Burundi, mzee wa Butiama kinyume chake kwa madai Serikali ile ni ya wauaji. Alifika hadi kukemea hadharani ila hapa mzee Rukhsa ukimwa ulimshinda.
 
Nikiri kwamba sijaisoma makala yote ! Lakini Ali Hassan Mwinyi ndio anakula capacity charges za IPTL ! Hana usafi wowote ule babu yule!!

Ni kiri kwamba sijaisoma makala yote ! Lakini Ali Hassan Mwinyi ndio anakula capacity charges za IPTL ! Hana usafi wowote ule babu yule!!
Uko sahihi, kifupi ni kwamba mzee Mwinyi ndie muasisi wa rushwa kubwa kubwa nchi hii!

Alishiriki hata kujipakulia mali za umma
 
Alimuuzia mwarabu eneo la Loliondo pia, sehemu ambayo ni mapito ya wanyama wanapohama. Waarabu wamehamisha wanyama hai kwenda uarabuni na kutengeneza mbuga ya wanyama.
Hili watu wengi wanajifanya wamesahau!
Na huyohuyo Mwinyi akawapoteza wanaharakati wengi waliokuwa wanaipigania Loliondo isiuzwe! Mfano, mwandishi Stan Katabalo
 
Mwinyi ndio Rais ambaye alikuwa anaongoza kwa mawazo ya Nyerere kutokea Butiama.

Alishinikizwa sana ikiwemo hata kuvunja baraza la mawaziri mara mbili kwa oda ya mzee mchonga.

Mwinyi wala hakujali, hata lilipokuja suala la maelekezo ya kuwadili Waziri Mkuu na Katibu Mkuu wake wa CCM bwana Kolimba bado aliendelea kuwa mtulivu.

Huyu pengine anabakia kuwa Rais ambaye hakutawala kwa matakwa yake, Rais ambaye hakuwa na mamlaka! Lakini hakuwa na chuki wala kinyongo, leo hii ametimiza miaka 97.

Heri ya kuzaliwa kwa mzee Ali Hassan Mwinyi...Mwenyezi Mungu akutunze zaidi!
Na anakiri wazi kuwa kama isingekuwa Mwalimu Nyerere yeye Mwinyi asingekuwa rais! Anadai Hakutumia hila wala rushwa yeyote kama JK kupata urais

Ndani ya kitabu chake anasema wote wanaoutaka urais nchi hii wajipime je wanakaribia uzalendo wa JK Nyerere?
 
Kwanini ukuchanganye?
Hukutoa ufafanuzi wa swali uliloulizwa. Uchaguzi na ubinafsishaji wapi na wapi?
Mimi nilitaka ufafanuzi wa para hii
"Mrema alipambana akamshinda kwenye uchaguzi. Nyerere alimuunga mkono Mrema kugombea, kui -challenge CCM."
 
Ukiishi ukiwa unafikiria kuumiza wengine mchana kweupe maana yake na wewe uliumizwa sana utotoni. Kule kuumizwa hakuishi kuwa ni tukio la kivitendo tu, bali kunaingia ndani kabisa ya ubongo wako.
Umenikumbusha kifo cha mwandishi wa habari wa gazeti la Mfanyakazi enzi hizo anaitwa Francis Katabalo, alikua anaandika sana habari za Uchunguzi, gazeti la Mfanyakazi those years lilikua gazeti la habari za Kiuchunguzi. RIP Francis Katabalo
 
Mwinyi ndio Rais ambaye alikuwa anaongoza kwa mawazo ya Nyerere kutokea Butiama.

Alishinikizwa sana ikiwemo hata kuvunja baraza la mawaziri mara mbili kwa oda ya mzee mchonga.

Mwinyi wala hakujali, hata lilipokuja suala la maelekezo ya kuwadili Waziri Mkuu na Katibu Mkuu wake wa CCM bwana Kolimba bado aliendelea kuwa mtulivu.

Huyu pengine anabakia kuwa Rais ambaye hakutawala kwa matakwa yake, Rais ambaye hakuwa na mamlaka! Lakini hakuwa na chuki wala kinyongo, leo hii ametimiza miaka 97.

Heri ya kuzaliwa kwa mzee Ali Hassan Mwinyi...Mwenyezi Mungu akutunze zaidi!
Kabisa, hana nongwa.

I am coming out! I am coming out!
Natoka! Natoka!
 
Huyo Warioba hana uzee wa hiivyo, Ni gongo tu inampa uonekano huo wa kizee.
Mtu uko namba 2 kwenye Serikali kwake yeye gongo kama soda mpaka anawakwanza walinzi wake.
Malecela sawa, Butiku kidogo.
Hahah yaani mpaka walinzi wana mind?

I am coming out! I am coming out!
Natoka! Natoka!
 
Hili watu wengi wanajifanya wamesahau!
Na huyohuyo Mwinyi akawapoteza wanajarakati wengi waliokuwa wanaipigania Loliondo isiuzwe! Mfano, mwandishi Stan Katabalo
Aliwa-ua?

I am coming out! I am coming out!
Natoka! Natoka!
 
Back
Top Bottom