Miaka inaenda sioni Future yangu. Nimekata tamaa!

Miaka inaenda sioni Future yangu. Nimekata tamaa!

Tatizo wa Bongo wengi hatusomi vitabu Marekani watunzi wanaheshimiwa sana,,,watu wanasoma vitabu na movies zao nyingi wanatumia hivo hivo vitabu sio huku kama hukusoma Kwenye darasa lakiswahili na lakiingereza ndio imetoka hiyo,,natamani siku Hii hali ibadilike
 
Tatizo lako unapoteza muda mwingi kutafuta umaarufu hapa JF kwa kuandika makala zisizo na kichwa wala miguu. Jikite katika kutafuta hela, Achana kushindana na watu kama Erythrocyte au akina brazaj etc , wenzako wanalipwa na chadema!
Amekuambia ana shida na hela? Bandiko hili amefikisha ujumbe tuu alichoeleza kimetokea, kinatokea mtu hawezi kuwa busy for nothing he knows what he is doing.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We meneja Robert unapotembelea Maeneo mbalimbali ya nchi kuona maajabu na mabonde uwe unapiga na picha basi
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Labda ningekutana na wewe ningekoma kuzurura hovyo. Ningekuwa nimejipatia mke mwema [emoji2089][emoji2089][emoji2089]

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]niko nanjilinji
 
Atafute pesa, mengine nakuachia wewe
Amesema ana vitabu vyake tena hata kabla hajasema ilikuwa nimtafute maana nilihisi hivyo Sasa wewe unataka atafutaje pesa??? Mbona mnakuwa wajuaji sana humu!! Kumbuka huu uzi umekaa Kama tangazo la kazi zake if and only if you can think in deep.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi hii watu wana shida sana.
1. Unamjua hadi umwambie ajikite kutafuta pesa?
2. Huwa anaomba msaada hapa?
....Watu hufanya mambo kwa kujifurahisha nafsi. Huenda anapotoa ujumbe flani katika jamii moyo wake hufurahi, tuache mambo ya kuona mtu anapoteza muda badala ya kutafuta pesa.
Pesa sio kila kitu.

😀😀😀😀

Wabongo wajuaji Sana.
 
[emoji848] Ni kweli, yeye ametoa wapi mda wa kuandika, wakati yupo katika harakati za kutafuta hela.[emoji848]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo lako unapoteza muda mwingi kutafuta umaarufu hapa JF kwa kuandika makala zisizo na kichwa wala miguu. Jikite katika kutafuta hela, Achana kushindana na watu kama Erythrocyte au akina brazaj etc , wenzako wanalipwa na chadema!
Eti ni kweli Erythrocyte mpaka leo mnalipwa na chadema kutukuna watu "Jeifu" since 2014[emoji848]
 
Back
Top Bottom