Miaka inaenda sioni Future yangu. Nimekata tamaa!

Wewe unakaa Makanya Kijiji kilichojaa wachawi, Kijiji kilichojaa Malaya, Kijiji chenye ukame wa kupitiliza unategemea kutoboa?
Halafu huwaheshimu mama zetu mpaka unasema hawastahili huruma huoni kwamba unajiwashia Moto?
Hapo Makanya utaendelea kuona magari ya wachagga wakienda kwao kula Bata.
Nyie watu wa Makanya mnasubiri ajali zitokee muwaibie majeruhi unadhani baraka mtazipata wapi?
Kingine watu wa Makanya mna roho mbaya sana za kishirikina, kweli baraka zitakuja Makanya?
Endelezeni uchawi muone Kama mtafika popote.
 
"Siku hizi Paka wangu namuona juu ya kuta za jumba la jirani yangu. Hunitazama Kwa jicho la Dharau na mara huachia mlio wa dhihaka."

Dah [emoji23]
 
[emoji848] Ni kweli, yeye ametoa wapi mda wa kuandika, wakati yupo katika harakati za kutafuta hela.[emoji848]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hapo sasa.
Anataka kutuaminisha huwa anasaka pesa 24hrs hapumziki???
Je tunatafuta pesa ili iweje mwisho wa siku?
 
Ukikutana na alokusimulia muulize hv... "Nauli ya Hizo route alizokuwa anapiga ktk kutafuta mwanamke wa kijijini alizitolea wapi?"

Saidong to Hanang = 7000[emoji16]
Hanang to Ngamu( singida) = 5000[emoji23]
Ngamu to Singida mjini =4000[emoji23]
Singida to Morogoro =25000[emoji23].
Morogoro to Mbingu = 15000[emoji23] to and fro = 30000
..........

Nisaidieni afike Tanga na vijiji vyake af aje aseme anakosaje kodi na uhakika wa kula.
 


Ngoja napandisha Uzi wa safari zangu za malori na mafuso
 
Ngoja napandisha Uzi wa safari zangu za malori na mafuso
[emoji23][emoji23] kwa uandishi nakupa 100% mkuu. Nikipata muda nitakuuliza swali hili... "Hio sanaa unaoinaje kwa jicho la tatu?"..... Ni ya kuishia JF au uko na mkakati mwingine mbali na hapa....?
 
Kama upo makanya shuka tu hapo combo muungano au turiani nunua samaki za laki moja njoo nazo Hadi lami uza utanishukuru
 
[emoji23][emoji23] kwa uandishi nakupa 100% mkuu. Nikipata muda nitakuuliza swali hili... "Hio sanaa unaoinaje kwa jicho la tatu?"..... Ni ya kuishia JF au uko na mkakati mwingine mbali na hapa....?


Nina vitabu vitatu. Kimoja ndio nimekizindua mwaka huu na kimefanya vizuri Sana sokoni Mkuu.
 
Uandishi ndio kitu kikubwa kucheza na maneno na fasihi sio kitu kidogo mkuu


Moja ya kazi zangu humu jamvini na kitabu kipo sokoni mwezi January
πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…