Miaka inavyozidi kwenda na mambo ya ndoa yana potea kabisa

Miaka inavyozidi kwenda na mambo ya ndoa yana potea kabisa

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna vipindi youtube sijui challenge kufahamu kama kuna mapenzi ya kweli.
Unaweza kujua ni utani au maigizo yani wasio kuwa kwenye ndoa walio kuwa kwenye ndoa ni kama wapo group moja la wasaliti.

Kutarakiana kumeongezeka huko mahakamani,nyumba za dini na waamuzi wao.

Kwa sasa kama mnataka kuingia kwenye ndoa mkasome No reform No election
 
Wanaume nawashauri achana na ndoa wewe saka ngono tuu. Utaenjoy maisha.
Sheria zenyewe zakingese hizi mwanamke anaweza kuamka tuu siku moja anasema anataka mambo mengine maishani alafu anasepa na nusu ya mali.
Tena kwa sheria hizi za kipumbavu za ccm ..mwanamke anaweza kuamka asubuhi akakuambia umembaka maana alikuambia bao moja wewe umepiga mbili ...unashangaa umefungwa maisha wakati fisadi Rostam azizi na samia bushiri na mzee kikwete wanakula bata ...hapo ndiyo utajua kuwa kuna tofauti ya neno mahakama na neno haki ....mwizi wa kuku ananyongwa wakati jangili rostam azizi anaye teketeza mbuga zetu anazidi kuitwa mtukufu muwekezaji mwanasiasa nguri...comredi Rostam azizi
 
Wanaume nawashauri achana na ndoa wewe saka ngono tuu. Utaenjoy maisha.
Sheria zenyewe zakingese hizi mwanamke anaweza kuamka tuu siku moja anasema anataka mambo mengine maishani alafu anasepa na nusu ya mali. Sasa sii u wege huo
1. Kwa Mali ipi uliyonayo?

2. Ndo maana mmeamua kupanda wenyewe kwa wenyewe?
 
Ndoa imepoteza mvuto shauri ya ujuaji mwingʻna kutaka kupoteza mamlaka ya mwanaume kisiasa hilo jambo haliwezeka I kwn tumekuwa wajanja
 
Tusiikatae ndoa ila tuitenge na tuinyanyapae😁
 
Kuna vipindi youtube sijui challenge kufahamu kama kuna mapenzi ya kweli.
Unaweza kujua ni utani au maigizo yani wasio kuwa kwenye ndoa walio kuwa kwenye ndoa ni kama wapo group moja la wasaliti.

Kutarakiana kumeongezeka huko mahakamani,nyumba za dini na waamuzi wao.

Kwa sasa kama mnataka kuingia kwenye ndoa mkasome No reform No election
Achana na mambo ya ndoa yatakupotezea muda.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Back
Top Bottom