Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 7,009
- 25,406
#MGTOW
Kataa ndoa kwenye moja na mbili
Sawa utamdinyia, lakini mwenzio ataendelea kuthaminiwa, kulelewa na kupewa huduma zote kama mume nyumbani.Ukioa niambie nije kukudinyia mkeo
Na mimi nitakuwa nawalea wote yeye na mumewe ...namsaidia mwanaume mwenzangu malezi ya mkewe ...kama mwanaume mwenzangu aliye oa akishindwa kupachika mimba nampachikia mimi na kumpatia watoto bure kabisaSawa utamdinyia, lakini mwenzio ataendelea kuthaminiwa, kulelewa na kupewa huduma zote kama mume nyumbani.
Mwenzio atapata watoto na huyo mke na kuilea familia yake.
Mwenzio ataendelea kuhudumiwa kwa karibu kabisa apatapo changamoto kama za kiafya n.k
😅Na mimi nitakuwa nawalea wote yeye na mumewe ...namsaidia mwanaume mwenzangu malezi ya mkewe ...kama mwanaume mwenzangu aliye oa akishindwa kupachika mimba nampachikia mimi na kumpatia watoto bure kabisa
Mali sii pumbuz zetu wee unataka mali gani zaidi1. Kwa Mali ipi uliyonayo?
2. Ndo maana mmeamua kupanda wenyewe kwa wenyewe?
Mbona zote tunapata tena kwa kugombewa kabisa na mause girls na wake za walio oa wanatupa huduma zote kuanzia kupika kufua nk😅
Lakini kamwe hutapa faida tajwa hapo juu toka kwa huyo mke.