No reform no marriageKATAA NDOA
uroda tutapataje tukikataa ndoa?Kataa Ndoa
Ndoa ni utapeli kwa sasa
LINDA KIBUNDA
LINDA AMANI YAKO UHURU
Tena kwa sheria hizi za kipumbavu za ccm ..mwanamke anaweza kuamka asubuhi akakuambia umembaka maana alikuambia bao moja wewe umepiga mbili ...unashangaa umefungwa maisha wakati fisadi Rostam azizi na samia bushiri na mzee kikwete wanakula bata ...hapo ndiyo utajua kuwa kuna tofauti ya neno mahakama na neno haki ....mwizi wa kuku ananyongwa wakati jangili rostam azizi anaye teketeza mbuga zetu anazidi kuitwa mtukufu muwekezaji mwanasiasa nguri...comredi Rostam aziziWanaume nawashauri achana na ndoa wewe saka ngono tuu. Utaenjoy maisha.
Sheria zenyewe zakingese hizi mwanamke anaweza kuamka tuu siku moja anasema anataka mambo mengine maishani alafu anasepa na nusu ya mali.
1. Kwa Mali ipi uliyonayo?Wanaume nawashauri achana na ndoa wewe saka ngono tuu. Utaenjoy maisha.
Sheria zenyewe zakingese hizi mwanamke anaweza kuamka tuu siku moja anasema anataka mambo mengine maishani alafu anasepa na nusu ya mali. Sasa sii u wege huo
show tutapiga wapi? Watoto tutapataje?Ndoa imepoteza mvuto shauri ya ujuaji mwingʻna kutaka kupoteza mamlaka ya mwanaume kisiasa hilo jambo haliwezeka I kwn tumekuwa wajanja
Kwamba kusex mpaka uwe kwenye ndoa! Upo dunia ya wapi mkuu?show tutapiga wapi? Watoto tutapataje?
Achana na mambo ya ndoa yatakupotezea muda.Kuna vipindi youtube sijui challenge kufahamu kama kuna mapenzi ya kweli.
Unaweza kujua ni utani au maigizo yani wasio kuwa kwenye ndoa walio kuwa kwenye ndoa ni kama wapo group moja la wasaliti.
Kutarakiana kumeongezeka huko mahakamani,nyumba za dini na waamuzi wao.
Kwa sasa kama mnataka kuingia kwenye ndoa mkasome No reform No election
Ukioa niambie nije kukudinyia mkeoFunga ndoa bhana,ndoa ni jambo muhimu