Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Jana nimetimiza umri wa miaka 24, sikuweza kusherehekea na wala sikuwahi na sikutaka kusherehekea, kwa sababu sioni cha kusherehekea, sina mafanikio yoyote Zaidi ya Ka degree niliotumia Zaidi ya miaka 16 kuitafta.
Nimewaza na kuwazua mambo mengi ila kwa sasa nimeona ni busara kuja kuomba kwenu ushauri kwa maana naamini kuna wakubwa zangu humu waliopiga hatua Zaidi yangu wana mengi ya kunijenga
WanaJF nataka mnishauri katika umri huu nifanye nini, kipi mnanishauri ni jema na kipi kibaya kutokana na mtazamo wako ili niw mtu bora Zaidi ya jana?
Toa mchango kwa moyo nitanote iwe kama kumbukumbu kwangu na nitaufanyia kazi.
Asante!