Miaka inazidi kusonga, sijafanya chochote cha maana, nipe ushauri wa kunijenga!

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Jana nimetimiza umri wa miaka 24, sikuweza kusherehekea na wala sikuwahi na sikutaka kusherehekea, kwa sababu sioni cha kusherehekea, sina mafanikio yoyote Zaidi ya Ka degree niliotumia Zaidi ya miaka 16 kuitafta.

Nimewaza na kuwazua mambo mengi ila kwa sasa nimeona ni busara kuja kuomba kwenu ushauri kwa maana naamini kuna wakubwa zangu humu waliopiga hatua Zaidi yangu wana mengi ya kunijenga

WanaJF nataka mnishauri katika umri huu nifanye nini, kipi mnanishauri ni jema na kipi kibaya kutokana na mtazamo wako ili niw mtu bora Zaidi ya jana?

Toa mchango kwa moyo nitanote iwe kama kumbukumbu kwangu na nitaufanyia kazi.

Asante!
 
Nenda Instagram tafuta account ya sirjeff_dennis soma post zake zote kuanzia ya latest kuja nyuma. Anatoa ushauri mzuri utakufaa kwa aja yako
 
Jana nimetimiza umri wa miaka 24, sikuweza kusherehekea na wala sikuwahi na sikutaka kusherehekea, kwa sababu sioni cha kusherehekea, sina mafanikio yoyote Zaidi ya Ka degree niliotumia Zaidi ya miaka 16 kuitafta.

Nimewaza na kuwazua mambo mengi ila kwa sasa nimeona ni busara kuja kuomba kwenu ushauri kwa maana naamini kuna wakubwa zangu humu waliopiga hatua Zaidi yangu wana mengi ya kunijenga

WanaJF nataka mnishauri katika umri huu nifanye nini, kipi mnanishauri ni jema na kipi kibaya kutokana na mtazamo wako ili niw mtu bora Zaidi ya jana?

Toa mchango kwa moyo nitanote iwe kama kumbukumbu kwangu na nitaufanyia kazi.

Asante!
Faidi maisha yako ya ujana. Ujana hauji mara mbili. Fanya vile vitu vinavyokupa furaha.
 
Kaa chini kwanza jiulize ni kwanini huna mafanikio hadi sasa?
Itakusaidia usirudie makosa yale yale.
 
Dogo mm naomba nikuulize kichwani mwako unawadha kufanya nn? Yaani kama ni biashara, biashara gani unaipenda? Au shughuli gani unaipenda?
 
Back
Top Bottom