Miaka kadhaa huko niliishi na mshkaji, akawa anahustle hadi raha

mager6

Senior Member
Joined
Jul 5, 2025
Posts
182
Reaction score
286
Jamaa mmoja nimuite Marcus. Alinitangulia kuimaliza chuo kikuu nchini Uholanzi akarejea jijini dsm bahati mby hakuwa na makaz jijini kwa kuwa alikuwa akiish mkoa. Basi akaniomba makaz yangu akae akiwa anafukizia dili. Nikampa ruhusa ya kukaa isitoshe getho nililifunga mwenye nyumba akinichungia.

Muda ukasonga na Mimi nikatoka kwa wadachi nikarejea nyumbani. Nikiwa muajiriwa serikalin jamaa wiki end tunatoka sote na wakati flan akapata kibarua. Nilimkubali sana na hakuna bosi ambaye angeacha kumfurahia. Mcheshi, hardworking man.

Hakuna watu wataish bila kugombana, siku moja aliniudhi sana baada ya kuingia home nakutana na harufu ya chui yaani yule mwanamke snatoa harufu nyumba haifai. Nikamuuliza aisee imeleta mtu wa namna gani mbonq hali ya hewa hivi? Tukamaindiana pale.

Yakaisha. Kwa sasa jamaa ni muheshimiwa mkuu. He is charming man.

Mwamba alikuwa kila anapotafuta kibarua anapata. Full confidence anakuzidi kujiamini hata wewe unaye muhoji.

Ni watu wachache sana wenye uwezo huu. Nilitamani kuendelea kuishi naye.

Anauwezo wa kufanyakazi na binadamu yeyote yule. Jamaa ni kiumbe wa ajabu sana.

Ana IQ kubwa, social interaction ya hali ya juu sana.

Akianzisha biashara utashangaa, anaanza na anatusua, alinishangaza aliingia karikakoo akakodi eneo, na pesa sijui katoa wapi. Nikamuuliza anadai we tulia uone.

Jamaa ni watu flan very genius. Marcus is a very talented man. Sikuwahi kumuona akichukia bila kusema Ile chuki waziwaz. Na kuimaliza. Ameingia kwenye siasa. Hakuna mwanasiasa atammudu jamaa.

Kuna tabia akinionyesha akiwa muheshimiwa. Jamaa anauwezo wa kukupokea mzigo. Akiwa msaidiz wako anaweza akafanya jambo utashangaa ni mtu anayeweza kujishusha pale inapotakiwa na hii tabia inampa credit kubwa.
 
Jamaa mmoja nimuite Marcus. Alinitangulia kuimaliza chuo kikuu nchini Uholanzi akarejea jijini dsm bahati mby hakuna na makaz jijini kwa kuwa alikuwa akiish mkoa. Basi akaniomba makaz yangu akae akiwa anafukizia dili. Nimampa ruhusa ya kukaa isitoshe getho nililifunga mwenye nyumba akinichungia.

Muda ukasonga na Mimi nikatoka kwa wadachi nikarejea nyumbani. Nikiwa muajiriwa serikalin jamaa wiki end tunatoka sote na wakati flan akapata kibarua. Nilimkubali sana na hakuna bosi ambaye angeacha kumfurahia. Mcheshi, hardworking man.

Hakuna watu wataish bila kugombana, siku moja aliniudhi sana baada ya kuingia home nakutana na harufu ya chui yaani yule mwanamke snatoa harufu nyumba haifai. Nikamuuliza aisee imeleta mtu wa namna gani mbonq hali ya hewa hivi? Tukamaindiana pale.

Yakaisha. Kwa sasa jamaa ni muheshimiwa mkuu. He is charming man.

Mwamba alikuwa kila anapotafuta kibarua anapata. Full confidence anakuzidi kujiamini hata wewe unaye muhoji.

Ni watu wachache sana wenye uwezo huu. Nilitamani kuendelea kuishi naye.

Anauwezo wa kufanyakazi na binadamu yeyote yule. Jamaa ni kiumbe wa ajabu sana
Umetaja sifa za J ila ye alipomaliza ni hapo kwa wadachi akaendelea U.K kama ni yeye basi yuko sawa.
 
Kama mlisoma Uholanzi ilikuwaje mkarudi apeche alolo?

Uholanzi kuna fursa kibao za kazi na ni miongoni mwa nchi chache za Ulaya zinazoruhusu wanafunzi wa kigeni kufanya kazi na malipo yao ni mazuri ukilinganisha na nchi zingine za Ulaya.

Yaani jamaa alirudi kutoka Uholanzi hata uwezo wa kupanga tu gheto akakosa kweli?

Nazungumza ninachokifahamu mkuu hakuna nchi ya Ulaya yenye fursa nyingi za kazi kwa wahamiaji kama Uholanzi. Uwe mwanafunzi ama Muhamiaji halali fursa ni nyingi na wanalipa vizuri.
 
Au huyo jamaa alikuwa mvivu kupindukia ndiyo maana alirudi hana hata uwezo wa kupanga ghetto tena Bongo.

Ule muda wa ziada ambao haupo masomoni kuna kazi kibao za muda zinapatikana na wanafunzi wengi waliopo huko huwa wanazichangamkia ili kuji make wanaporudi Bongo wanakuwa wanacho cha kuanzia.
 
Kama mlisoma Uholanzi ilikuwaje mkarudi apeche alolo?

Uholanzi kuna fursa kibao za kazi na ni miongoni mwa nchi chache za Ulaya zinazoruhusu wanafunzi wa kigeni kufanya kazi na malipo yao ni mazuri ukilinganisha na nchi zingine za Ulaya.

Yaani jamaa alirudi kutoka Uholanzi hata uwezo wa kupanga tu gheto akakosa kweli?

Nazungumza ninachokifahamu mkuu hakuna nchi ya Ulaya yenye fursa nyingi za kazi kwa wahamiaji kama Uholanzi. Uwe mwanafunzi ama Muhamiaji halali fursa ni nyingi na wanalipa vizuri.
Kazi tuliofanya, pesa tukisave, jamaa alikuwa na malengo. Baada ya mwaka na kidogo akazama kwenye siasa. Pamoja na gharama za siasa aliagiza ndinga ya kibabe mno. Unajua waheshimiwa wanapenda haya mambo
 
Back
Top Bottom