shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 3,832
- 13,664
Wanuka chui au Sio!🤓🤓🤓Lazima mjitetee
Wanuka chui au Sio!🤓🤓🤓Lazima mjitetee
Kitu inatema hadi stooWewe ulikisikia vipi mkuu,kwani mlilala chumba kimoja?
Ni kama Ujinga na Ushamba hauwezi jijuaathari moja ya kunuka mwili, mwenye harufu huwa hana habari kabisa.
Daima wanuka kwapa, uchi. kinywa nk, huwa hawahisi kuwa wananuka mpaka waambiwe.
Na ikifikia mwenye kutoa harufu akaanza kuihisi hiyo harufu yeye mwenyewe, basi ujue walio pembeni yake wana hali mbaya zaidi.
Mixer kimunyenge et😂UCHI, KIPAPA MVUNDO, NG'ONDA, MAKU MNUKO.
Umesahau kusema hupati ajira mpaka uwe na sheria pia kazi zao za mkataba wa miezi 6 au mwaka. Bila ya kujua lugha yao sahau kupata ajira wale wana endesha bicycle 🚲 sana kuliko chochote. Yaani jamaa wana parking lots ya bicycles kila kona. Mtu kavaa suit anapiga pedal 🤣Kama mlisoma Uholanzi ilikuwaje mkarudi apeche alolo?
Uholanzi kuna fursa kibao za kazi na ni miongoni mwa nchi chache za Ulaya zinazoruhusu wanafunzi wa kigeni kufanya kazi na malipo yao ni mazuri ukilinganisha na nchi zingine za Ulaya.
Yaani jamaa alirudi kutoka Uholanzi hata uwezo wa kupanga tu gheto akakosa kweli?
Nazungumza ninachokifahamu mkuu hakuna nchi ya Ulaya yenye fursa nyingi za kazi kwa wahamiaji kama Uholanzi. Uwe mwanafunzi ama Muhamiaji halali fursa ni nyingi na wanalipa vizuri.
Hukuisikia ulipokuwa kule Utengule?Harufu ya chui ndiyo ipoje?
Hiyo kwao ni added advantage tu sio lazima ujue lugha yao kwa ajira za mkataba mfupi.Bila ya kujua lugha yao sahau kupata ajira
Suala la bicycle ni kwasababu ile nchi ina baridi kali mno hivyo kutumia bicycle ni kama moja ya mazoezi kuchangamsha damu.Umesahau kusema hupati ajira mpaka uwe na sheria pia kazi zao za mkataba wa miezi 6 au mwaka. Bila ya kujua lugha yao sahau kupata ajira wale wana endesha bicycle 🚲 sana kuliko chochote. Yaani jamaa wana parking lots ya bicycles kila kona. Mtu kavaa suit anapiga pedal 🤣
Nilisema aliendelea now yupo dsm na kapiga ishu za computer, ana kid mmoja wa kike. Kazaa na mdachi.Hapana sio Huyo jamaa hupo hapa tz tena amenyamaza kama hayupo vile.
UCHI, KIPAPA MVUNDO, NG'ONDA, MAKU MNUKO.
Definitely ni J ma Sigara.🤣😁Umetaja sifa za J ila ye alipomaliza ni hapo kwa wadachi akaendelea U.K kama ni yeye basi yuko sawa.
Bundle lako, simu yako na upeo ni wako. Naanzaje kukubishia sasa.Umeandika kwa hisia kali za hasira. Inaonekana wewe ni mhanga mkuu wa vipapa mizoga ya paka.
Sio kila mtu anapenda ulayaKama mlisoma Uholanzi ilikuwaje mkarudi apeche alolo?
Uholanzi kuna fursa kibao za kazi na ni miongoni mwa nchi chache za Ulaya zinazoruhusu wanafunzi wa kigeni kufanya kazi na malipo yao ni mazuri ukilinganisha na nchi zingine za Ulaya.
Yaani jamaa alirudi kutoka Uholanzi hata uwezo wa kupanga tu gheto akakosa kweli?
Nazungumza ninachokifahamu mkuu hakuna nchi ya Ulaya yenye fursa nyingi za kazi kwa wahamiaji kama Uholanzi. Uwe mwanafunzi ama Muhamiaji halali fursa ni nyingi na wanalipa vizuri.