shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 3,832
- 13,664
Na yeye anasikia hiyo harufu?Zipo za hivo, chumba kizima kinasambaa unakuta mhusika ni mgonjwa. Wanaume tunavumilia mengi. Na unakuta mwingine ni pisi ya kwenda kabisa ila shida ni hiyo.
Na yeye anasikia hiyo harufu?Zipo za hivo, chumba kizima kinasambaa unakuta mhusika ni mgonjwa. Wanaume tunavumilia mengi. Na unakuta mwingine ni pisi ya kwenda kabisa ila shida ni hiyo.
athari moja ya kunuka mwili, mwenye harufu huwa hana habari kabisa.Na yeye anasikia hiyo harufu?
😂Umeongeza chumvi Sana!chui itoe harufu ya kusambaa nyumba nzima si kaoza Sasa huyo???
KHarufu ya chui ndiyo ipoje?
Kwanini mkuu, pole mkuu your back niliona caption ukiwa nyuma ya NONDO ZA WA MODSMungu nifundishe kunyamaza
Mimii nina mshikaji wangu ni chotara fulani na watu huwa wanahisi si mtz kwa sababu anaongea kiingereza muda wote kimenyooka kama rula. Jamaa anaendaga kwenye events kubwa kubwa, anakutana na ma CEO wanahisi ni investor, yani anaweza kuingia kila sehemu na akaletewa mkuu wa kitengo wakati hana hata mia. Jamaa ana confidence sio ya kawaida.Jamaa mmoja nimuite Marcus. Alinitangulia kuimaliza chuo kikuu nchini Uholanzi akarejea jijini dsm bahati mby hakuwa na makaz jijini kwa kuwa alikuwa akiish mkoa. Basi akaniomba makaz yangu akae akiwa anafukizia dili. Nikampa ruhusa ya kukaa isitoshe getho nililifunga mwenye nyumba akinichungia.
Muda ukasonga na Mimi nikatoka kwa wadachi nikarejea nyumbani. Nikiwa muajiriwa serikalin jamaa wiki end tunatoka sote na wakati flan akapata kibarua. Nilimkubali sana na hakuna bosi ambaye angeacha kumfurahia. Mcheshi, hardworking man.
Hakuna watu wataish bila kugombana, siku moja aliniudhi sana baada ya kuingia home nakutana na harufu ya chui yaani yule mwanamke snatoa harufu nyumba haifai. Nikamuuliza aisee imeleta mtu wa namna gani mbonq hali ya hewa hivi? Tukamaindiana pale.
Yakaisha. Kwa sasa jamaa ni muheshimiwa mkuu. He is charming man.
Mwamba alikuwa kila anapotafuta kibarua anapata. Full confidence anakuzidi kujiamini hata wewe unaye muhoji.
Ni watu wachache sana wenye uwezo huu. Nilitamani kuendelea kuishi naye.
Anauwezo wa kufanyakazi na binadamu yeyote yule. Jamaa ni kiumbe wa ajabu sana.
Ana IQ kubwa, social interaction ya hali ya juu sana.
Akianzisha biashara utashangaa, anaanza na anatusua, alinishangaza aliingia karikakoo akakodi eneo, na pesa sijui katoa wapi. Nikamuuliza anadai we tulia uone.
Jamaa ni watu flan very genius. Marcus is a very talented man. Sikuwahi kumuona akichukia bila kusema Ile chuki waziwaz. Na kuimaliza. Ameingia kwenye siasa. Hakuna mwanasiasa atammudu jamaa.
Kuna tabia akinionyesha akiwa muheshimiwa. Jamaa anauwezo wa kukupokea mzigo. Akiwa msaidiz wako anaweza akafanya jambo utashangaa ni mtu anayeweza kujishusha pale inapotakiwa na hii tabia inampa credit kubwa.
Andika tu kwamba ni Psychological Disease Due to Experience(yaani Trauma)Issue ya shemeji yako kukaa kwako na hazalishi chochote imeanza kukufanya uwe MTU wa comparison
Hii ni issue ya saikolojia huitwa psychological crisis sio tu utaendelea kumkumbuka huyo jamaa Ila utawakumbuka wengi hata ambao walikununulia bia.
Haiijafika huko Ila ni mgogoro wa kisaikolojia ndo unao na sio traumaAndika tu kwamba ni Psychological Disease Due to Experience(yaani Trauma)
Haiijafika huko Ila ni mgogoro wa kisaikolojia ndo unao na sio trauma
Inaezekn kuna mwana niliishi nae Moro alihamishiwa kikazi kutoka Dar, hy siku sijui kaokota wapi kitu inatema balaa!!Umeongeza chumvi Sana!chui itoe harufu ya kusambaa nyumba nzima si kaoza Sasa huyo???
Sawa Ila unaonekana Una go through a lot be humbleInakuaje mgogoro. ? Nimeridi kwangu nikitokea job namkuta, naamka natoka kwenda kazini yupo, wiki end yupo anashinda hapo na dadaake, kama mwenye nyumba namuhoji dadaake vipi huyu anamipango gani, Hana. Utafanyaje kama ni wewe
Sawa mkuu.Kazi tuliofanya, pesa tukisave, jamaa alikuwa na malengo. Baada ya mwaka na kidogo akazama kwenye siasa. Pamoja na gharama za siasa aliagiza ndinga ya kibabe mno. Unajua waheshimiwa wanapenda haya mambo
Kwamba nyau ikiamua kunuka🥱 au sioK ikiamua kunuka inanuka kwl unaweza kujiuliza uyu amekufa au yuko hai lkn mbn anatembea kbs na kuongea
Uncircumcised undertaker is back in town🤣🤣🤣Kwanini mkuu, pole mkuu your back niliona caption ukiwa nyuma ya NONDO ZA WA MODS
UPO POA LAKINI..
Is back😂😁☺️Uncircumcised undertaker is back in town🤣🤣🤣