UCHI, KIPAPA MVUNDO, NG'ONDA, MAKU MNUKO.Harufu ya chui ndiyo ipoje?
Au Serengeti na chui chui.Zingatia neno chiu
😂😂😂😂MNUKO
Umetaja sifa za J ila ye alipomaliza ni hapo kwa wadachi akaendelea U.K kama ni yeye basi yuko sawa.Jamaa mmoja nimuite Marcus. Alinitangulia kuimaliza chuo kikuu nchini Uholanzi akarejea jijini dsm bahati mby hakuna na makaz jijini kwa kuwa alikuwa akiish mkoa. Basi akaniomba makaz yangu akae akiwa anafukizia dili. Nimampa ruhusa ya kukaa isitoshe getho nililifunga mwenye nyumba akinichungia.
Muda ukasonga na Mimi nikatoka kwa wadachi nikarejea nyumbani. Nikiwa muajiriwa serikalin jamaa wiki end tunatoka sote na wakati flan akapata kibarua. Nilimkubali sana na hakuna bosi ambaye angeacha kumfurahia. Mcheshi, hardworking man.
Hakuna watu wataish bila kugombana, siku moja aliniudhi sana baada ya kuingia home nakutana na harufu ya chui yaani yule mwanamke snatoa harufu nyumba haifai. Nikamuuliza aisee imeleta mtu wa namna gani mbonq hali ya hewa hivi? Tukamaindiana pale.
Yakaisha. Kwa sasa jamaa ni muheshimiwa mkuu. He is charming man.
Mwamba alikuwa kila anapotafuta kibarua anapata. Full confidence anakuzidi kujiamini hata wewe unaye muhoji.
Ni watu wachache sana wenye uwezo huu. Nilitamani kuendelea kuishi naye.
Anauwezo wa kufanyakazi na binadamu yeyote yule. Jamaa ni kiumbe wa ajabu sana
Kama mlisoma Uholanzi ilikuwaje mkarudi apeche alolo?Jamaa mmoja nimuite Marcus. Alinitangulia kuimaliza chuo kikuu nchini Uholanzi akarejea jijini dsm bahati mby hakuna na makaz jijini kwa kuwa alikuwa akiish mkoa. Basi akaniomba makaz yangu akae akiwa anafukizia dili. Nimampa ruhusa ya kukaa isitoshe getho nililifunga mwenye nyumba akinichungia.
Muda ukasonga na Mimi nikatoka kwa wadachi nikarejea nyumbani. Nikiwa muajiriwa serikalin jamaa wiki end tunatoka sote na wakati flan akapata kibarua. Nilimkubali sana na hakuna bosi ambaye angeacha kumfurahia. Mcheshi, hardworking man.
Hakuna watu wataish bila kugombana, siku moja aliniudhi sana baada ya kuingia home nakutana na harufu ya chui yaani yule mwanamke snatoa harufu nyumba haifai. Nikamuuliza aisee imeleta mtu wa namna gani mbonq hali ya hewa hivi? Tukamaindiana pale.
Yakaisha. Kwa sasa jamaa ni muheshimiwa mkuu. He is charming man.
Mwamba alikuwa kila anapotafuta kibarua anapata. Full confidence anakuzidi kujiamini hata wewe unaye muhoji.
Ni watu wachache sana wenye uwezo huu. Nilitamani kuendelea kuishi naye.
Anauwezo wa kufanyakazi na binadamu yeyote yule. Jamaa ni kiumbe wa ajabu sana
K ikiamua kunuka inanuka kwl unaweza kujiuliza uyu amekufa au yuko hai lkn mbn anatembea kbs na kuongeaUCHI, KIPAPA MVUNDO, NG'ONDA, MAKU MNUKO.
Acha bwana, na kasumba ya vundo lake linakukaa rohoni, itakuchukua muda kusahau hiyo harufu.K ikiamua kunuka inanuka kwl unaweza kujiuliza uyu amekufa au yuko hai lkn mbn anatembea kbs na kuongea
Zipo za hivo, chumba kizima kinasambaa unakuta mhusika ni mgonjwa. Wanaume tunavumilia mengi. Na unakuta mwingine ni pisi ya kwenda kabisa ila shida ni hiyo.Umeongeza chumvi Sana!chui itoe harufu ya kusambaa nyumba nzima si kaoza Sasa huyo???
Halafu unakuta manzi ndo linajifanya kujibebisha na kukuuliza umenisikiaje mi mtamu et huwa natakani kuzaba mibao ya uchiAcha bwana, na kasumba ya vundo lake linakukaa rohoni, itakuchukua muda kusahau hiyo harufu.
Kazi tuliofanya, pesa tukisave, jamaa alikuwa na malengo. Baada ya mwaka na kidogo akazama kwenye siasa. Pamoja na gharama za siasa aliagiza ndinga ya kibabe mno. Unajua waheshimiwa wanapenda haya mamboKama mlisoma Uholanzi ilikuwaje mkarudi apeche alolo?
Uholanzi kuna fursa kibao za kazi na ni miongoni mwa nchi chache za Ulaya zinazoruhusu wanafunzi wa kigeni kufanya kazi na malipo yao ni mazuri ukilinganisha na nchi zingine za Ulaya.
Yaani jamaa alirudi kutoka Uholanzi hata uwezo wa kupanga tu gheto akakosa kweli?
Nazungumza ninachokifahamu mkuu hakuna nchi ya Ulaya yenye fursa nyingi za kazi kwa wahamiaji kama Uholanzi. Uwe mwanafunzi ama Muhamiaji halali fursa ni nyingi na wanalipa vizuri.