Miaka kadhaa huko niliishi na mshkaji, akawa anahustle hadi raha

Zipo za hivo, chumba kizima kinasambaa unakuta mhusika ni mgonjwa. Wanaume tunavumilia mengi. Na unakuta mwingine ni pisi ya kwenda kabisa ila shida ni hiyo.
Na yeye anasikia hiyo harufu?
 
Mleta mada naona unaeza kuwa chawa mzuri Sana aisee kwa jinsi unavyojua kusifia 😅
 
Mimii nina mshikaji wangu ni chotara fulani na watu huwa wanahisi si mtz kwa sababu anaongea kiingereza muda wote kimenyooka kama rula. Jamaa anaendaga kwenye events kubwa kubwa, anakutana na ma CEO wanahisi ni investor, yani anaweza kuingia kila sehemu na akaletewa mkuu wa kitengo wakati hana hata mia. Jamaa ana confidence sio ya kawaida.
Jamaa hana pesa kabisa ila ashatembezwa na kuonyeshwa miradi mikubwa watu wakidhani ni investor. Shida yake ni moja ukipata kumjua ndani ya week tatu unagundua ana shida. Mbishi, anajiona anajua kuliko kila mtu, anakula sana ganja. Ila ana first impression siyo ya kawaida.
Kuna mchina fulani aliwahi tuzungusha kwenye mjengo fulani hapa town akidhani tuna ela ya kukodi floor nzima kisa nina jamaa, kumbe hatuna ahta mia mbovu.
Yani ile kitu angekuwa nayo mtu mwingine nahisi angekuwa mbali. Ana kapikipiki kake ka kuchaji, kuna siku kameisha chaji juzi juzi tu, akaenda kwenye ofisi moja kubwa akaomba achaji. Wakahisi ni foreigner wakampa sehemu ya kuchaji wakampa na sehemu ya kukaa na breakfast. Wabongo wanapenda maforeigner.
 
Issue ya shemeji yako kukaa kwako na hazalishi chochote imeanza kukufanya uwe MTU wa comparison

Hii ni issue ya saikolojia huitwa psychological crisis sio tu utaendelea kumkumbuka huyo jamaa Ila utawakumbuka wengi hata ambao walikununulia bia.
 
Issue ya shemeji yako kukaa kwako na hazalishi chochote imeanza kukufanya uwe MTU wa comparison

Hii ni issue ya saikolojia huitwa psychological crisis sio tu utaendelea kumkumbuka huyo jamaa Ila utawakumbuka wengi hata ambao walikununulia bia.
Andika tu kwamba ni Psychological Disease Due to Experience(yaani Trauma)

Ni Ile tu kwamba kuna mambo huwezi kumuambia mtu. Unaona tu anakaa bila mpango wowote. Labda ana stress, jamaa Hana hata shuka unajiuliza anampango upi, anafua maji ya dsm unajua ni gharama, chai ni gharama, lunch ni gharama, dinner ni gharama kulala sio ishu maana popote utalala hata sebleni.
 
Watu wa hivyo ni wachache sana, inaweza ikawa nipo Mimi na yeye dunia nzima
 
Inakuaje mgogoro. ? Nimeridi kwangu nikitokea job namkuta, naamka natoka kwenda kazini yupo, wiki end yupo anashinda hapo na dadaake, kama mwenye nyumba namuhoji dadaake vipi huyu anamipango gani, Hana. Utafanyaje kama ni wewe
Haiijafika huko Ila ni mgogoro wa kisaikolojia ndo unao na sio trauma
 
Umeongeza chumvi Sana!chui itoe harufu ya kusambaa nyumba nzima si kaoza Sasa huyo???
Inaezekn kuna mwana niliishi nae Moro alihamishiwa kikazi kutoka Dar, hy siku sijui kaokota wapi kitu inatema balaa!!
 
Inakuaje mgogoro. ? Nimeridi kwangu nikitokea job namkuta, naamka natoka kwenda kazini yupo, wiki end yupo anashinda hapo na dadaake, kama mwenye nyumba namuhoji dadaake vipi huyu anamipango gani, Hana. Utafanyaje kama ni wewe
Sawa Ila unaonekana Una go through a lot be humble
 
Kazi tuliofanya, pesa tukisave, jamaa alikuwa na malengo. Baada ya mwaka na kidogo akazama kwenye siasa. Pamoja na gharama za siasa aliagiza ndinga ya kibabe mno. Unajua waheshimiwa wanapenda haya mambo
Sawa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…