Miaka kadhaa huko niliishi na mshkaji, akawa anahustle hadi raha

Ndiye atakayekuwa boss wa moyo wako ?
 
Jamaa amepush mambo yake ya motuary mpaka akawaboa ModsssπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mimi pia niliwaigi kula ban Mara moja kwa kurudia rudia kuandika jumbe au maneno kwenye kila thread hope aliomba MSAMAHA maana ban fupii huwaga ni week 😁
 
Mimi pia niliwaigi kula ban Mara moja kwa kurudia rudia kuandika jumbe au maneno kwenye kila thread hope aliomba MSAMAHA maana ban fupii huwaga ni week 😁
kuna siredi huko naona anaendelea kukata magovi na hiyo ni leo🀣🀣🀣🀣

kwani ukirudia kuna shido mbona wale jamaa wa no this no that wapo na hawabugudhiwi.
 
Ukimkumbusha kuhusu ile ishu yake ya poaching wa CHUI na kutumia geto lako kumchuna ngozi,Marcus will be a-maize-d and glad to hear that very old story you two shared!Atacheka ..."inhinhihiii..nhiiinnhiihiii"...!
 
Huwa tunacheka sana. Lkn si unajua muheshimiwa lazima uende naye kwa akili.
Ukimkumbusha kuhusu ile ishu yake ya poaching wa CHUI na kutumia geto lako kumchuna ngozi,Marcus will be a-maize-d and glad to hear that very old story you two shared!Atacheka ..."inhinhihiii..nhiiinnhiihiii"...!
Usiwaone wateule wetu Hawa, wanaishi kwa pesha kuu. Mkeka ukitoka lazima asali kabla hajausoma. Ukimletea stori za aibu, na anakimavi kwa serikali lazima aone unaleta uchawa, kumbuka kwamba Hawa viongozi hutuzarau sana wawapo juu, na hawakumbuki nyuma na hawana imani
 
Hizi siasa za kungoja teuzi za mama?
Sawa acha tusubiri.
 
Noma sanaaaa yani kidonda sio kidonda mzoga sio mzoga yani uvundo sio uvundo misuzi sio misuzi yn sijui inanuka nini ile jamani ni vurugu tupu
Ukimkagua vizuri humkuti na rinda huyo, hizo harufu ni za nyaa ambazo masharo bwenzi wanakazi ya kuhamisha kutoka mix by nyash kwenda kwenye mbususu... gaddembich!!!!
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Inaezekn kuna mwana niliishi nae Moro alihamishiwa kikazi kutoka Dar, hy siku sijui kaokota wapi kitu inatema balaa!!
Wewe ulikisikia vipi mkuu,kwani mlilala chumba kimoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…