Miaka kadhaa huko niliishi na mshkaji, akawa anahustle hadi raha

Ni kama Ujinga na Ushamba hauwezi jijua
 
#TikiKwaSamia

Kufungua milango ya uwekezaji kwa sekta binafsi kulikofanywa na Serikali kuwaleta na kuvutia zaidi wawekezaji binafsi katika sekta ya bandari kumeleta na inatarajiwa kuleta zaidi matokeo chanya nchini, pamoja na watumiaji wa bandari za Tanzania.
 
Umesahau kusema hupati ajira mpaka uwe na sheria pia kazi zao za mkataba wa miezi 6 au mwaka. Bila ya kujua lugha yao sahau kupata ajira wale wana endesha bicycle 🚲 sana kuliko chochote. Yaani jamaa wana parking lots ya bicycles kila kona. Mtu kavaa suit anapiga pedal 🀣
 
Bila ya kujua lugha yao sahau kupata ajira
Hiyo kwao ni added advantage tu sio lazima ujue lugha yao kwa ajira za mkataba mfupi.

Wanaotafuta ajira za mkataba mrefu kwenye makampuni makubwa ndiyo sharti ujue lugha yao.
 
Suala la bicycle ni kwasababu ile nchi ina baridi kali mno hivyo kutumia bicycle ni kama moja ya mazoezi kuchangamsha damu.
 
Sio kila mtu anapenda ulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…