Miaka kumi ya ndoa mume wangu hajali hisia zangu; Nimechoka!

Ni kwa sababu amekuja mwengine ndio umeanza kupata hisia za nini hupendi,umeanza kumchambua mmeo ili uhalalishe unachotaka kufanya. Acha tulia na mmeo, kwa sababu hutaishia hapo utaenda mbali sana. Mungu akusamehe.
 
Kwa hiyo nivumilie kutokupata raha na kunamtu anataka kunipa raha maisha hayaji mara mbili
Kwa hii koment we ni -me- sas nenda kafunguliwe rinda ,ila kumbuka kubakiza machache
 
Wanaume watamtetea ila mwanaume kuridhika mke akushughulikie tu kila siku ni udhaifu mkubwa. Respect kwa baba inaanzia kitandani mengine hufuata
 
Mbona umeshajishauri mwenyeji mkuu, sema sisi umekuja kutupa taarifa tu.Ila muarifu na mumeo kuhusu huyo mnyaki wako
 
Ngoja na miaka 32 yako uje urudi kwenye Ligi ya kutafuta mume upya ,ndio utajua soko lilivyododa. Ukiachika hata huyo mnyakyusa hutamwona!
 
Dah jamani vijana wenzangu nawashauri kaa na demu japo miaka mitatu na umchunguze sana narudia umchunguze sana na namalizia umchunguze sana
Kwan wengi sasa wanaoa wanawake wanaojiuza ambao kwa sasa wanajifanya wameokoka mtu analala na wanaume 20 kwa week we utamridhisha so muwe makini wanaume wenzangu maana dah malaya wengi sana mitaani walio kosa soko maana magu kabana kote kote
 
simple tuu..
nenda kwa huyo mnyakyusa mwakipumbujile.!...then mpe hiyo papa... aisugue... then tupe mrejesho!..


"me ndo bwanaake na dem wangu "
 
Jiendee tu mwaya uwez kua wa kwanza ila ukibambwa utajuta kuchepuka
 
Juzi kaanzisha Uzi mumewe kajua na marafiki akaomba mods waufute Dada unakichaa cha nyege wala mume tu kujali familia hyo ni heshima kubwa mno
Duuu!!
Alianzisha uzi kumpondea mumewe?
Walijuaje ID hii ni yake?
Hao marafiki walimjuaje?
 
Duuu!!
Alianzisha uzi kumpondea mumewe?
Walijuaje ID hii ni yake?
Hao marafiki walimjuaje?
Juzi kaanzisha Uzi unaoelezea detail kazi sijui nini sasa wanaomfahamu wakanwambia mumewe kaomba kwa mods ulifutwa Leo kaja na hii I'd kabadilisha tu vtu vidogo ila kumpenda boss kuko pale pale Leo kaongezea tu la mchagga. JF kuna watu wajua connect dot.
 
Hee!
Ulijuaje mumewe kaomba kwa mod?
Mumewe nae yupo humu?

Ndo yule aliesema katokea kumpenda boss wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…