Mkuu you are right, huyu alishafanya maamuzi hapa anatafuta justification tu kuwa ni sahihi au sio sahihi basi, ninachoweza kumshauri ni aangalie kwenye vipaumbele vyake kimaisha, kama kimoja wapo ni kuchepuka she can move forward with it, watu wengi tunakuwa failures kwenye maisha kwasababu ya kushindwa kung'amua vipaumbele vyetu na kuvisimamia, kingine kama huyu mtu ana miaka 32 sasa na ana miaka 10 kwenye ndoa means aliolewa akiwa na miaka 22,hivyo kuna ujana fulani hajala, hivyo kinachomsumbua kwa sasa ni kuna vitu aliviruka hivyo anatamani avirudie, ninachoweza kumshauri ni kuwa SUMU HAIJARIBIWI KWA KUONJWA.