Miaka michache ya utawala JPM ni wazi sheria mbovu na maovu mengi ni ruhusa yake.Je tungekuwa naye mpaka leo.

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
6,007
Reaction score
15,216
Ukweli mchungu ila tutafute chanzo cha haya yote.

Utawala wa JPM kulipitishwa sheria mbovu kupita kiasi hata huko ulipo pole pole,nchimbu,ndungai,tulia na CCM zina watafuna wenyewe.

Hii ya kushinda asilimia zote kila ngazi ni nyie mlianza kwa JPM.

bunge kuwa FM academia limianza kwa JPM

Upigaji wa wazi ambao CAG anatolewa kazini au kupuuzwa ni kwa JPM.

CCM kutumia dola si lilianza kwa bashiru kipindi cha JPM.

Kuengua watu au kutengeua lilianza kwa JPM.

Chaguzi ya awamu pili ndio ulithibitisha na TBS kuwa wewe hii ndio staili CCM watumie na kizimkazi anatumia mpaka kufa kwake.

Na jiuliza kama angekuwa hai basi kuna mengine tu yaja practice na CCM .Sababu tulipo hapa ni result yake.
 
Ni kweli ila JPM ilikuwa na mapenzi mema kwa Nchi
 
Muasisi wa huu upumbavu ni babu yenu Nyerere hawa waliofuata walikuwa wanauboresha tu, Nyerere kwa kujua wazi kabisa katiba iliyopo ni mbovu na inamfanya rais kuwa mungumtu
Lakini hakuchukua hatua yoyote kurekebisha matokeo yake kila mtu anayaona mpaka mtu anadiriki kuita katiba kijitabu
 
Acheni kutafuta excuses za kumtetea mama enu bhana, niambie ni lini JPM alishinda kwa asilimia zote kwenye chaguzi zote mbili?

Huyo mama yenu mwanzo si mlikuwa mnamtetea vipi sasa endeleeni kumtetea

Mtu anaua watu na anasema nguvu iliyotumika ni sawa asee hata kama kichwani hamnazo sio kwa kumtetea huyo mtu wenu

Unasema CCM ilianza kutumia dola wakati JPM sasa nakuuliza Dkt. Ulimboka alivyotekwa na vyombo vya dola na kutupwa mabwepande akiwa mahututi kisa mgomo wa madaktari, kile kilikuwa kipindi Rais yupi?

Mwizi ni mwizi tu, mama yenu hana aibu ya wizi yani hadi wakuu wa vyombo watoto wao wanaogelea kwenye minoti ya dola

Huyo mama yenu hateteeki yani nchi imemshunda kwanza kaingia kwa kumwaga damu za watu
 
Si tetei yoyote na eleza mwanzo wa chanzo
 
2015 Jk alikua anamalizia uongozi kwahiyo hata uchaguzi kausimamia yeye ndio maana angalau tuliona uchaguzi wenye ushindani 2020 hakukua na uchaguzi chini ya Jiwe yeye alipola kabisa uchaguzi na kununua wapinzani ndio zilikua siasa zake mikisa na kuteka wale wenye msimamo
 
Ukweli mchungu ila tutafute chanzo cha haya yote.

Utawala wa JPM kulipitishwa sheria mbovu kupita kiasi hata huko ulipo pole pole,nchimbu,ndungai,tulia na CCM zina watafuna wenyewe.

Hii ya kushinda asilimia zote kila ngazi ni nyie mlianza kwa JPM.

bunge kuwa FM academia limianza kwa JPM

Upigaji wa wazi ambao CAG anatolewa kazini au kupuuzwa ni kwa JPM.

CCM kutumia dola si lilianza kwa bashiru kipindi cha JPM.

Kuengua watu au kutengeua lilianza kwa JPM.

Chaguzi ya awamu pili ndio ulithibitisha na TBS kuwa wewe hii ndio staili CCM watumie na kizimkazi anatumia mpaka kufa kwake.

Na jiuliza kama angekuwa hai basi kuna mengine tu yaja practice na CCM .Sababu tulipo hapa ni result yake.
MTU uko hai unahangaika na marehemu.
Kama unafikiri atafufuka aje akusaidie badala ya kujisaidia mwenyewe endelea kusubiri.
 
Ukweli mchungu ila tutafute chanzo cha haya yote.

Utawala wa JPM kulipitishwa sheria mbovu kupita kiasi hata huko ulipo pole pole,nchimbu,ndungai,tulia na CCM zina watafuna wenyewe.

Hii ya kushinda asilimia zote kila ngazi ni nyie mlianza kwa JPM.

bunge kuwa FM academia limianza kwa JPM

Upigaji wa wazi ambao CAG anatolewa kazini au kupuuzwa ni kwa JPM.

CCM kutumia dola si lilianza kwa bashiru kipindi cha JPM.

Kuengua watu au kutengeua lilianza kwa JPM.

Chaguzi ya awamu pili ndio ulithibitisha na TBS kuwa wewe hii ndio staili CCM watumie na kizimkazi anatumia mpaka kufa kwake.

Na jiuliza kama angekuwa hai basi kuna mengine tu yaja practice na CCM .Sababu tulipo hapa ni result yake.
JPM alikuwa anatishwa na kivuli chake mwenyewe bila sababu na kupelekea kuiba kura na kununua wapinzani.

Kiuhalisia wananchi walikuwa wamemkubali sana kutokana na misimamo yake na namna nchi alivyoikimbiza kimaendeleo kwa muda mfupi.

Hata asingeliiba kura ya mtu, lakini angelipita kwa kishindo, wananchi walimpenda aana.
 
Mapenzi ya kupitisha sheria vyombo vya usalama kuto kuhojia,ccm kushinda asilimia 100.
IMG-20260602-WA0083.jpg
 
Si tetei yoyote na eleza mwanzo wa chanzo
Unachotaka wewe ni kumpa ahueni huyo mama na kumpa lawama JPM, Mtu ndo Amir Jeshi ana uwezo wa kubadilisha hata sasa kwanini anaendelea kuteka?

Unaweza sema kama unavyodai lakini kwanini asibadilishe mfumo hata mda huu
 
2015 Jk alikua anamalizia uongozi kwahiyo hata uchaguzi kausimamia yeye ndio maana angalau tuliona uchaguzi wenye ushindani 2020 hakukua na uchaguzi chini ya Jiwe yeye alipola kabisa uchaguzi na kununua wapinzani ndio zilikua siasa zake mikisa na kuteka wale wenye msimamo
Ulimboka alitekwa kipindi cha uongozi upi?
 
Back
Top Bottom