Miaka minne na nusu ya Utawala wa Rais, Samia Suluhu Hassan: Wilaya ya Mbogwe imepiga hatua gani?

Miaka minne na nusu ya Utawala wa Rais, Samia Suluhu Hassan: Wilaya ya Mbogwe imepiga hatua gani?

Victor Mlaki

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
5,628
Reaction score
6,411
  • Leseni 41 za utafiti wa madini zimetolewa
  • Leseni 548 za wachimbaji zimetolewa
  • Leseni 147 za maeneo tengefu
  • Vituo vya afya vimeongezeka mara mbili zaidi kutoka 14 wakati anaingia madarakani na kufikia 28 vilivyopo sasa.
  • Ongezeko la wataalamu wa afya kutoka 181 kufikia 283
  • Ongezeko la Shule za msingi kutoka 89 kufikia 104 zilizomo sasa
  • Ongezeko la Shule 7 zaidi za Sekondari, kutoka Shule 15 hadi Shule 22
  • Madarasa mapya 255 ya shule za Msingi
  • Madarasa mapya 271 ya shule za Sekondari
  • Maji safi na salama- shilingi bilioni tisa na milioni 100 (9,100,000,000/=) zimetumika kuboresha Mtandao wa maji, takwimu zinaonesha watu 85 katiya watu 100 katika Wilaya ya Mbogwe wanapata huduma ya maji safi na salama
  • Miradi mikubwa ya maji na mmoja wa milioni mia saba unaondelea
  • Majosho mapya 17 yamejengwa
  • Mabwawa 9 zaidi yamejengwa hivyo kufikia idadi ya mabwawa 16 (7ya zamani na 9 ya sasa)
 
Back
Top Bottom