Ni kweli mkuu,haya mambo sio ya kushangilia hata kidogo,shetani hana jema hata moja kinachofuata hapo ni kuwaparaganyisha...Kuna mwenzako pia naye leo anafurahia kutimiza miaka 10 na mkeo
Anamsubiri Bi. Mkubwa atangulie... DahMkuu si umuoe tu unasubiri nin.
Bi mkubwa nae kagoma kufa..5years parefuAnamsubiri Bi. Mkubwa atangulie... Dah
Bi mkubwa nae kagoma kufa..5years parefu
umemdharau mkeo vibaya snTulianza haka kamchezo Disemba 2013 sasa tumetimiza miaka mitano kamili. Asante Da Teddi. Endapo Bi. Mkubwa akatangulia basi nafasi I wazi.
**nawasihi msijaribu mapenzi na mabinti hawa ni watamu ajabu na ukizingatia na hawa wake zetu full visirani
mkuu jamaa anamdharau sn mkewe.......Happy birthday kwenu mkuu we na house girl wako muendelee kuzini mpaka mkeo awafumanie
[emoji1][emoji1][emoji1]Kuna mwenzako pia naye leo anafurahia kutimiza miaka 10 na mkeo