Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hiyo ni zaidi ya dharau wewe mpaka mtu anasema mkewe akifa anakuwa mke wake mm nawaombea tu mkewe awafumanie tu aone umuhimu wa mke na thamani ya mkewemkuu jamaa anamdharau sn mkewe.......
kwa beki 3? kwaio beki 3 anajua udhaifu wa maza house bila shaka!!!..... mbaya sn hii