Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
"Mwanaume sio ndugu yako"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una roho ngumu, Huend Mbinguni aiseeeNajipongeza huu mwaka wa 6 niko na mke wa mchungaji nakula mema ya nchi[emoji16][emoji16][emoji16]
Mke wa mtu mtamu cha wizi kitamu ndie ananifanya nisifikirie kuoa
Hata kama ni kweli unawaza hivyo, ila Sio vema kusema hadharan... unamkosea heshima Mke wako na wanawake wote waliiolewa, wakiona huu Uzi wataanza kuwachunguza tena na tena mabeki 3 walionao, Maana huyo wife hajawakamata miaka 5 na Beki 3 hajabeba mimba miaka yote hiyo.. Mko smart
Bangi zipi hizo tena jamani we mtuHizi bangi za namna hii nazitafuta saaana sema sizipati mamaeee dadeque Shun Shun Ngwa
Acha kabisa mkuu najaribu kuvaa viatu vya huyu mke havinitoshi haya mambo uyasikie tuUtakuta mkewe kutwa kujitambulisha, "mimi mke wa Joshua" kumbe anaombewa kufa kwa sababu ya house girl!
not happy birthday happy annivesary to em , alafu ndoa ikivunjika akuje tena hapa tumpongeze
Hizo za kutoa happy birthdayBangi zipi hizo tena jamani we mtu
Hahahaha sasa nifanyeje mtu anajisifia wana miaka 5 na house girl wakeHizo za kutoa happy birthday
Anatumia mashudu kwa siri bila kumwambia mkewe, sijuwi kama Huyo mtoto h. girl hajamwambukiza!!!We utakua na UKIMWI kwanini umejuaje mkeo atakufa akuache?
Ila kiukweli wanaume wengi wao hutembea na house girl, tena hasa walio kuwa na wake wanaofanya kazi!
Yaani hadi unaanza kumwombea your innocent wife kifo ili uendelee kumtanua house girl? So sad kwa kweli. Muachane tu kuliko kumwombea kifo. Umefikia hatua mbaya sana.Tulianza haka kamchezo Disemba 2013 sasa tumetimiza miaka mitano kamili. Asante Da Teddi. Endapo Bi. Mkubwa akatangulia basi nafasi I wazi.
**nawasihi msijaribu mapenzi na mabinti hawa ni watamu ajabu na ukizingatia na hawa wake zetu full visirani
Hata huyo house girl akishakuwa Mke atakuwa kisirani na dharauMh! Ila hawa wake zetu wana visirani balaa yaani ni kuwavumilia kwakweli pamoja na hayo hatutakiwi kuwadharau mkuu.
Dahh hapo sister umeongea point siku zote mchepuko huwa anangalia hisia zako kwa mkeo ukimzarau na yeye anamdharauHuyu sio kumkosea tu mkewe hununua na malaya wa ambiance, hataki ku solve matatizo yake yeye ni uhuni tu. Mi kati ya kosa linaloweza vunja ndoa ni mume kutoka na housegirl what if akinogewa na mapenzi ategeshe sumu kwa familia Ili abaki na mume. Kukiri baadhi ya vtu hadharani ni udhaifu mkubwa
Kwa full visirani hapo ndio umesema point.Tulianza haka kamchezo Disemba 2013 sasa tumetimiza miaka mitano kamili. Asante Da Teddi. Endapo Bi. Mkubwa akatangulia basi nafasi I wazi.
**nawasihi msijaribu mapenzi na mabinti hawa ni watamu ajabu na ukizingatia na hawa wake zetu full visirani