Msukumakizazi
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 2,596
- 2,079
Wake zetu wengine wana mambo ya ajabu, mengine wanayaonyesha mbele ya mabeki3, mabeki wanaona ni fursa hiyo, maana saa ingine anamuona mama anachezea almasi anaamua kuichukua na kuihifadhi sehemu salama.mkuu jamaa anamdharau sn mkewe.......
kwa beki 3? kwaio beki 3 anajua udhaifu wa maza house bila shaka!!!..... mbaya sn hii