Wengi hawajui hata mapenzi kiukweli kwa beki Tatu si Ana mubaka tu cha fasta maana hajui kitu maskini
Kwa asilimia kubwa katika hili wanawake mnachangia,
unakuta mke hasemi nini anataka
anasubiri ubashiri,kwani nimekuwa mganga wa kienyeji.
wanawake wengi mmeathiriwa na tamthilia
mnasahau kwamba yale ni maigizo wala si maisha halisi.
kama umeolewa feel free kuongea na mme wako kipi unataka
kipi hutaki,mfano hali yenu ya uchumi unaijua
kusomesha watoto n,k
kama umeona mwenzio kajisahau kukutoa out
na hali inaruhusu kwanini usimkumbushe?
au kama uridhishwi na jinsi anavyofanya mapenzi
kwanini usimshauri,badala ya kukaa kama gogo?
hii inapelekea watu kutafuta njia mbadala
na mojawapo ni hiyo ya beki3.