Miaka mitano kimapenzi na Housegirl kwa siri

Miaka mitano kimapenzi na Housegirl kwa siri

Unamdharau mkeo kiasi hicho????? We ushindwi kumuua kwa hatua uliyoifikia
 
Sio siri hii ni laana unayo kama huna unajitaftia laana na kitachoteseka ni kizaz chako
 
Atakufa yeye atamuacha mkewe na house girl then mkewe nae anaona jamaa anachelewa kufa ili ammelete kiben 10 wake ale mema ya nchi
Mkuu umesema kwel. Hii mioyo ingekuwa inaonesha mawazo ya kila mmoja wetu, tusingekuwepo duniani. Jamaa anawaza anawaza mkewe afe na mke anawaza mme afe. Ila siri zao.
Unamla mke wa mtu na mkeo analiwa barabara. Siri za mioyo yao. Unamla housegirl, analiwa na houseboy. Kila mmoja siri yake.
 
1548739048261.png
 
Tulianza haka kamchezo Disemba 2013 sasa tumetimiza miaka mitano kamili.

Asante Da Teddi. Endapo Bi. Mkubwa akatangulia basi nafasi I wazi.

**nawasihi msijaribu mapenzi na mabinti hawa ni watamu ajabu na ukizingatia na hawa wake zetu full visirani
Umeongea vizuri lakini uliposema big mkubwa akitangulia ndo umeharibu maana imeonekana unamuombea mabaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je mkeo ni mama wa nyumbani au ni mfanyakazi?
Je kazi yake ya shifti?
Je huwa anasafiri mara kwa mara?
Au ni wale walohamia Dodoma kikazi na kuacha familia?
Je ktk miaka hiyo 5 huyo yaya hajaweza kushika ujauzito?
Au mliutoa?
Huyo house girl kabila gani?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
KUANZIA MWANADAMU ALIFANYA UASI MBELE YA EDENI BASI HAKUNA DHAMBI AMBAYO HAIJAFANYWA AISEE ...WATU WANATAMAN HATA WAKE ZAO WAFE ?
 
Hongera sana mkuu hapa duniani lazima ule unachopenda maisha mafupi cha msingi usivunje sheria za jamuhuri
 
Back
Top Bottom