Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,823
- 6,416
Ukitangulia wewe atabaki na nani?Tulianza haka kamchezo Disemba 2013 sasa tumetimiza miaka mitano kamili.
Asante Da Teddi. Endapo Bi. Mkubwa akatangulia basi nafasi I wazi.
**nawasihi msijaribu mapenzi na mabinti hawa ni watamu ajabu na ukizingatia na hawa wake zetu full visirani