Miaka mitano kimapenzi na Housegirl kwa siri

Miaka mitano kimapenzi na Housegirl kwa siri

Mkuu acha tu hawa viumbe ni wa kipekee.kwangu kuna aliekuja na mimba huko atokako basi ikawa mimi ndio mchunukiwa wa kuendeleza libeneke lakin kuna kisirani moja kilimchongea kwa bi mkubwa akarudishwa huko alikitoka na utamu wake umekua historia kwa kweki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa kupata sehemu ya kujipa rahaa sababu tunaishi ili kufurahisha nafsi zetu ulipokosea ni hapo pa kumuwazia afe usikute na yy kashaanza mipango utangulie ww wanaume wengi tunawaza wenzi wetu wakitangulia ila tunataka iwe mipango ya Mungu ila wanawake wanatutanguliza kwa stress kutuloga kwa sumu so maisha ya ndoa nyingi ni kuviziana
 
Naam,pia inathibitisha uwezo wa kiakili walionao waislamu

Mohammed hajui kusoma wala kuandika
Naam, huo ndiyo muujiza, masayantisti na wasomi wa hali ya juu wanafata Sunna zake. Ma shaa Allah, unazidi kuyakinisha muujiza.
 
Tulianza haka kamchezo Disemba 2013 sasa tumetimiza miaka mitano kamili.

Asante Da Teddi. Endapo Bi. Mkubwa akatangulia basi nafasi I wazi.

**nawasihi msijaribu mapenzi na mabinti hawa ni watamu ajabu na ukizingatia na hawa wake zetu full visirani
Acha ufala wewe jamaa, yaani unaomba mkeo atangulie mbele za haki uoe mchepuko yaani msichana wa kazi. Umeona haitoshi kuzini sio. Sasa subiri utangulie mbele wewe uwaachie wakwale waoe huyo mwanamke wa kazi na mkeo.
 
Viti maalumu vinalike viwe wabunge wa kujitolea kutoka makundi maalumu zerikali isiwalipe chochote.
 
Miaka mi5 na hajashika mimba tena ni house girl bro kama unawatoto kwa bi mkubwa jitafakar huenda sio wako kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeonaeee halafu anajiita kidume ngoja siku mambo yabumburuke atatamani dunia igeuke atumbukie,
si ajabu mke anawachora tu huku naye anabebishwa huko ukila na kipofu usimshike mkono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa kupata sehemu ya kujipa rahaa sababu tunaishi ili kufurahisha nafsi zetu ulipokosea ni hapo pa kumuwazia afe usikute na yy kashaanza mipango utangulie ww wanaume wengi tunawaza wenzi wetu wakitangulia ila tunataka iwe mipango ya Mungu ila wanawake wanatutanguliza kwa stress kutuloga kwa sumu so maisha ya ndoa nyingi ni kuviziana
Sasa kama huyo anavyo omba mke atangulie unazani mke ajue atamfanya nini mmewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom