Miaka mitano kimapenzi na Housegirl kwa siri

Mambo yanayoendelea kwenye ndoa kuna sababu kubwa KUOMBA NEEMA YA MUNGU
 
Hivi unahitaji kua low class kiasi gani hadi kulala na house girl?
 
Low class unasema wewe. Kip bora nile wadangaji na machangu ama binti ninayemlipa mshahara mwenyewe?
 
Si uliapa utakuwa mwaminifu kwa mwenzio mpk kifo, huyo binti amekuwa kifo?! Ni tatzo gani hiloi ambalo hamuwez kukaa na kuzungumza, mpk umuumize mwenzio hvyo cku akijua!!!. Loh! wanaume nyie
 
Hajui chochote maana tunafanya kwa siri sana
 
Hivi unahitaji kua low class kiasi gani hadi kulala na house girl?
Una mindset mbovu mkuu tena sana

sasa house girl sio mtu? Maisha yatazame kwa jicho la tatu na kamwe usimzarau mtu kwa leo yake

You never know pengine kesho akawa ndio boss wako huyo naww ukawa chini yake

USIMDHARAU MTU KWA HALI YAKE YA LEO
 
Tulianza haka kamchezo Disemba 2013 sasa tumetimiza miaka mitano kamili.

Asante Da Teddi. Endapo Bi. Mkubwa akatangulia basi nafasi I wazi.

**nawasihi msijaribu mapenzi na mabinti hawa ni watamu ajabu na ukizingatia na hawa wake zetu full visirani
Dah.... Merry Christmas [emoji2960]
 
masayantisti hawa wazungu mashoga wala riba wala nguruwe au masayantisti gani?? hakuna mwarabu sayantisti hata mmoja

Lugha unayoitumia inaonesha wazi kuwa kinachokusumbua ni "ignorance" aka ujinga.

Hivyo vyuo vikuu vinavyotoa wanasayansi usingevielewa leo hii isingekuwa Mwarabu. Jisomee kijana.

Fatima bint Muhammad Al-Fihriya Al-Qurashiya was an Arab Muslim woman who is credited with founding the oldest existing, continually operating and first degree-awarding educational institution in the world, the University of al-Qarawiyyin in Fez, Morocco in 859 CE. She is also known as "Umm al-Banayn". Wikipedia
Born: 800 AD, Kairouan, Tunisia
Died: 880 AD, Fes, Morocco
Parents: Muhammad al-Fihri
Known for: Founding first and oldest-surviving madrasa and university, Al-Qarawiyyin
Organization founded: University of al-Qarawiyyin
 
Mimi nimefurahishwa zaidi ulipoamua kutumia kalenda ya Kikristo! Badala ya ile ya Kiislamu! Mfano hapo kwenye Born: 800 AD (Anno Domino) Ikiwa na maana "Baada ya Kristo" That is good!
 
Back
Top Bottom