Miaka mitano kimapenzi na Housegirl kwa siri

Miaka mitano kimapenzi na Housegirl kwa siri

Tulianza haka kamchezo Disemba 2013 sasa tumetimiza miaka mitano kamili.

Asante Da Teddi. Endapo Bi. Mkubwa akatangulia basi nafasi I wazi.

**nawasihi msijaribu mapenzi na mabinti hawa ni watamu ajabu na ukizingatia na hawa wake zetu full visirani
Mkuu ongera sana lakini wakati huo unasema kuwa hamjafumaniwa na mke wako kuna boya mmoja anajipigia kiulainiiii nae anasema mzee asije nifumanie

Maendeleo ayana chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulianza haka kamchezo Disemba 2013 sasa tumetimiza miaka mitano kamili.

Asante Da Teddi. Endapo Bi. Mkubwa akatangulia basi nafasi I wazi.

**nawasihi msijaribu mapenzi na mabinti hawa ni watamu ajabu na ukizingatia na hawa wake zetu full visirani
hata yeye ukimwoa ataanza kisirani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio siri ma-housegirl wanajua kutunza nyie... Kila nikimkumbuka Sarah Daah nawaza mbali sana!
Uko wapi Sarah jaman, kile ulichonipatia hadi Leo kinadumu katika ufahamu wangu!
S alikupatia nini hicho, kuna watu mnakula raha! Hivi akikupa raha na mshahara unabaki 50,000 au unazidisha mara 10-ahahahahaaaa
 
Tulianza haka kamchezo Disemba 2013 sasa tumetimiza miaka mitano kamili.

Asante Da Teddi. Endapo Bi. Mkubwa akatangulia basi nafasi I wazi.

**nawasihi msijaribu mapenzi na mabinti hawa ni watamu ajabu na ukizingatia na hawa wake zetu full visirani
Hivi wana utamu wa ziada au ni watulivu kama watu wa visiwa vya Pem…..a
 
Wake zetu wengine wana mambo ya ajabu, mengine wanayaonyesha mbele ya mabeki3, mabeki wanaona ni fursa hiyo, maana saa ingine anamuona mama anachezea almasi anaamua kuichukua na kuihifadhi sehemu salama.

duuuuuuuuuuu-anachezea almasi! hivi watu wataoa siku hizi!
 
Beki 3 wa ajabu, miaka mi3 hajashika mimba? Hawa ni gusa unase hata ukipima oil tu kesho anakwambia baba nna mimba yako..staki beki3 kwangu maana akili za wanangu nazijua mwenyewe
 
Tulianza haka kamchezo Disemba 2013 sasa tumetimiza miaka mitano kamili.

Asante Da Teddi. Endapo Bi. Mkubwa akatangulia basi nafasi I wazi.

**nawasihi msijaribu mapenzi na mabinti hawa ni watamu ajabu na ukizingatia na hawa wake zetu full visirani

Nyuzi kama hizi ndiyo hunifanya Nioneshe Uislam ndiyo dini yenye mafundisho bora kabisa, jisomee...

Qur'an 4:

4_2.gif

2. Na wapeni mayatima mali yao. Wala msibadilishe kibaya kwa kizuri. Wala msile mali zao pamoja na mali zenu. Hakika yote hayo ni jukumu kubwa. 2

4_3.gif

3. Na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu, au wale ambao mikono yenu ya kulia imewamiliki. Kufanya hivi ndiko kutapelekea msikithirishe wana. 3
 
Back
Top Bottom