Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Sana sana
hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatari sana
kama ulidate kwa kutojua kama mme wa mtu sitakulaumu ila kama ulijua kwamba mme wa mtu then ukadate nae mbaya sana hii...........Sasa unataka niseme uongo mkuu. Nyie si ndo huwa mnaficha siri Kuwa hamujaoa. Hafu msikremishe dhambi mkuu. Punyeto yenyewe hairuhusiwi ingawa watu wafanya sirini
Ukiona mtu hashituki naye analiwa hukoUkiona unakula bila wasiwasi ujuwe nawe unaliwa bila wasiwasi!!
Ila michepuko ndio inafanya ndoa iwe imara zaidi maana hata km siku mkeo amechoka au ajisiki unakuwa huna presha Jana au leo ushapiga au kesho unaenda kupiga yani dahh ndoa ndio inazidi kunawiliNdio ale tu vzuri mkuu, lakini sio kumlaumu mkewe. Nyie wanaume huwa hamutujuagi vzuri wanawake ukiona kitu tumekigomea ujue tumeshakitoa moyoni siku mingi na tumeshachagua option. Nyie sasa ndo mwaumiza kichwa hapo inabaki ulezi tu wa watoto.
Sasa hyo ya matumizi hatujali mana Kuna wanawake wanajiwekeza kivyao
Hapo anawasiliana na wakwao asubilie tu, mara mke kawa kichaa mara kaondoka nyumbani majibu atayapata , akiolewa tu beki 3 naye anaweka beki 3Dahh hapo sister umeongea point siku zote mchepuko huwa anangalia hisia zako kwa mkeo ukimzarau na yeye anamdharau
Sasa unaomba atangulie akijua hilo atamuwekea sumu ili atangulie kweli
Hapo umechemka bro jirekebishe
Ila michepuko ndio inafanya ndoa iwe imara zaidi maana hata km siku mkeo amechoka au ajisiki unakuwa huna presha Jana au leo ushapiga au kesho unaenda kupiga yani dahh ndoa ndio inazidi kunawili
Siku mkeo akijisikia anasha tu mwenyewe Massa kibao wazungu hawajakuja yani dahh huyu jamaa sijui wa wapi
Sasa mnawatoto na wapo nyuma nyuma unafanyaje muda wowote na sehemu yeyote? Kadri unavyokuwa na majukumu yanaongezeka na lazima kichwa kifanye kazi.Hapo kuna point, lakini wanawake waliyo buys na kazi na wanapokuwa kitandani wanajidai wamechoka au anafanya mapenzi kama vile hana hisia, ndiyo hupelekea mume kutembea na beki tatu, na Mara nyingi anayefanya hivyo hufanya kumkomoa mke wake,
Na kumbuka uzuri wa hawa beki tatu unashika muda wowote hata awe jikon au anafua anakuja tu, huwa hawakatai! Ila kwa hawa wake visirani acha wakome tu!
kama ulidate kwa kutojua kama mme wa mtu sitakulaumu ila kama ulijua kwamba mme wa mtu then ukadate nae mbaya sana hii...........
Sasa mnawatoto na wapo nyuma nyuma unafanyaje muda wowote na sehemu yeyote? Kadri unavyokuwa na majukumu yanaongezeka na lazima kichwa kifanye kazi.
Achana nao hao sisi tunawatafuta ili ndoa zetu zizidi kuwa imara wengine wanawaraumu usijaliSasa unataka niseme uongo mkuu. Nyie si ndo huwa mnaficha siri Kuwa hamujaoa. Hafu msikremishe dhambi mkuu. Punyeto yenyewe hairuhusiwi ingawa watu wafanya sirini
Sema hata wewe magoli ya kuku lakini wake wapo tu, ila wao kuona wanaonewa ndiyo maana wengi wanaishia kwa bodaboda [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na mimi kama mke nakuachia kabisa huyo beki Tatu wako nyumba Ili mu enjoy vzuri bora nijali kazi yangu na wanangu kuliko mwanaume asiye jiheshimu unalaje na msaidizi woi. Mbona nyie unakuta hamuturizishi tunawavumilia tu huku hamjui kutukojoza kabisa.
Hahaaaaa kweli mkuu kusaidiana majukumu ya hapa na pale sio mbaya kizuri kula na nduguyo etiAchana nao hao sisi tunawatafuta ili ndoa zetu zizidi kuwa imara wengine wanawaraumu usijali
Kesho nitakutafuta
Wanaume kwa kusema madhaifu ya wake zao hawajambo kabisa lohSema hata wewe magoli ya kuku lakini wake wapo tu, ila wao kuona wanaonewa ndiyo maana wengi wanaishia kwa bodaboda [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naye watakuja tu wakudate na mmewe kwani malipo ni hapa hapa wapo wanao danganywa pia wapo wanajua kama ana mkekuna dada namfahamu alikua anadate na mme wa mtu, then akawa anajifanya rafiki wa huyo dada mwenye mme..........
nasubiri nikisikia ameolewa ndoa yake aijui itakuaje..... but i know, karma is bitch!
Unawatoto wadogo unazani utaweza muda wowote, wanaongea tu wakati hata power zenyewe zawasiwasiHafu ukiwa busy huo mda mchafu huwazi aisee
yeye hakudanganywa, ........Naye watakuja tu wakudate na mmewe kwani malipo ni hapa hapa wapo wanao danganywa pia wapo wanajua kama ana mke
Sasa waambiwe wao hawezi kukojoza wanavyolalamika mke hana siri, wanakimbilia kwa mabeki watatu maana ni sekunde tu kamaliza mambo ya kuandaana hakuna ni kama jogoo halafu anajisifia[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaume kwa kusema madhaifu ya wake zao hawajambo kabisa loh