Miaka mitano kimapenzi na Housegirl kwa siri

Najipongeza huu mwaka wa 6 niko na mke wa mchungaji nakula mema ya nchi[emoji16][emoji16][emoji16]
Mke wa mtu mtamu cha wizi kitamu ndie ananifanya nisifikirie kuoa
 
Tulianza haka kamchezo Disemba 2013 sasa tumetimiza miaka mitano kamili. Asante Da Teddi. Endapo Bi. Mkubwa akatangulia basi nafasi I wazi.
**nawasihi msijaribu mapenzi na mabinti hawa ni watamu ajabu na ukizingatia na hawa wake zetu full visirani
Sheria ya Tz ukiwa na mahusiano na mwanamke kwamiezi 6 nimkeo so oa tu mkuu
 
Tulianza haka kamchezo Disemba 2013 sasa tumetimiza miaka mitano kamili. Asante Da Teddi. Endapo Bi. Mkubwa akatangulia basi nafasi I wazi.
**nawasihi msijaribu mapenzi na mabinti hawa ni watamu ajabu na ukizingatia na hawa wake zetu full visirani
kwa iyo unatamani atangulie
 
Tulianza haka kamchezo Disemba 2013 sasa tumetimiza miaka mitano kamili. Asante Da Teddi. Endapo Bi. Mkubwa akatangulia basi nafasi I wazi.
**nawasihi msijaribu mapenzi na mabinti hawa ni watamu ajabu na ukizingatia na hawa wake zetu full visirani
Nakuja kumchukua dada angu shenz zako ulkuja na kimbuz chako kimekonda na Mahal yenyewe hujamaliza alfu unasema useng****
 
mkuu jamaa anamdharau sn mkewe.......

kwa beki 3? kwaio beki 3 anajua udhaifu wa maza house bila shaka!!!..... mbaya sn hii
Huyo mwanaume jinga kabisa. Ikifikia hatua mme anamlinganisha mkewe na hausegirl basi akili ya mume imeoza.
 
Mhh usinambie umeoa afu hg ni mpango wa kando ...
 
Back
Top Bottom