Miaka mitano ya Hayati Magufuli taifa lilipiga hatua kubwa kuliko miaka kumi ya Jakaya

Alikuwa anawatuma Wasiojulikana halafu yeye anajifanya yuko bize na Daraja.

Nchi yangu ya amani Tanzania ilikuwa imetapakaa maelfu ya Wasiojulikana watu wakawa wanaishi kwa khofu kubwa.

Zikaanza nyimbo za kumsifu na "Stockholm syndrome" ikafuatia.

kama unadhani wasiojulikana hawapo au wameisha jichanganye,wakubake bila mafuta.
 
Rais na kiongozi makini huwezi kujitapa hadharani kuwa ulipiga picha na Rhihana alafu unasikitika kutopatiwa picha hiyo uliyopiga.

Wakati wewe ukiwa madarakani rushwa na ufisadi ulitamalaki. Umasikini na maisha duni yakawa ndio jambo la kawaida. Maana akina Lugumi waliiba mali za umma huku ukichekelea mijino pembe wewe na Riz.

Hayati JPM katawala miaka tano tu. kakusanya mapato. Kajenga vituo vya afya kibao, hospital kibao. Pia kadhibiti mianya ya rushwa mpaka yakatokea yaliyomkuta. Hatukusikia kwenda USA kuuza sura na akina Rhihana.
Umeongea ukweli mtupu. Ila wachawi watakuja kupinga
 
No offense kwake but you got to move on man. Bado unaishi in the past
 
Rais na kiongozi makini huwezi kujitapa hadharani kuwa ulipiga picha na Rhihana alafu unasikitika kutopatiwa picha hiyo uliyopiga.

Wakati wewe ukiwa madarakani rushwa na ufisadi ulitamalaki. Umasikini na maisha duni yakawa ndio jambo la kawaida. Maana akina Lugumi waliiba mali za umma huku ukichekelea mijino pembe wewe na Riz.

Hayati JPM katawala miaka tano tu. kakusanya mapato. Kajenga vituo vya afya kibao, hospital kibao. Pia kadhibiti mianya ya rushwa mpaka yakatokea yaliyomkuta. Hatukusikia kwenda USA kuuza sura na akina Rhihana.
Nyie sukuma gang mpo kwenye denial,mtaendelea kumsifu mwizi mpaka lini?tumeishaambiwa hata zile tilioni 360 ilikuwa kanyaboya Bado hsmuamini tu,Kikwete hakufukuza watumishi hewa,lakini pesa ilikuwa kibao mtaani,sekta binafsi ilishamili,GDP ilipanda kutoka 19 .6T mpaka 47 5T,deni la Taifa lilikuwa tilioni 17,akaingia shetani wa kinyantuzu,akaua watu,amefunga watu,alikuwa muhongo,anasema anajenga kwa pesa ya ndani kumbe linapola na kuiba,
Mpaka leo tilioni 1.5 hsijulikani ilipo.haya uwanja wa chato na hile state hostel vimeingiza pesa kiasi gani?shetani kabisa nguruwe Poli Yule na sukuma gang wote
 
Umeongea ukweli mtupu. Ila wachawi watakuja kupinga
Mayanga Hawa walipewa tender ya kujenga airport Chato bila kufsta utaratibu,watu walibambikiwa kesi Ili watoe pesa,tilioni 360 kumbe ni kanyaboya,sekta binafsi ilidumaa,deni la Taifa limepanda mara tu kutoka enzi za Kikwete,mshenzi alikuwa anasema anajenga kwa pesa ya ndani.serikali iliuua kila siku,
Bunge gani lilipitisha ujenzi wa chato airport,na sasa hv Ndege ngapi zinatua,
Jiwe alikuwa shetani kabisa,tunashukuru Mungu,aliamua ugomvi
 
Mchawi mmoja wapo huyu keshajitokeza
 
JPM ni rais bora kuwahi kutokea tangu 1961.
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.....
Wajinga na mbumbumbu wa nchi ndio mnamuona bora twenye akili tunaona kirusi kilichotaka kuchafua landscape nzuri ya nchi yetu. No wonder Mungu hakutaka hilo litokee.
 
Rais na kiongozi makini huwezi kujitapa hadharani kuwa ulipiga picha na Rhihana alafu unasikitika kutopatiwa picha hiyo uliyopiga.

Wakati wewe ukiwa madarakani rushwa na ufisadi ulitamalaki. Umasikini na maisha duni yakawa ndio jambo la kawaida. Maana akina Lugumi waliiba mali za umma huku ukichekelea mijino pembe wewe na Riz.

Hayati JPM katawala miaka tano tu. kakusanya mapato. Kajenga vituo vya afya kibao, hospital kibao. Pia kadhibiti mianya ya rushwa mpaka yakatokea yaliyomkuta. Hatukusikia kwenda USA kuuza sura na akina Rhihana.
Dikteta hana lakukumbukwa, apotelee mbali
 
JPM ni rais bora kuwahi kutokea tangu 1961.
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.....
Mwenzio yupo jehanam huko anaungua, kila ngozi ikibabuka anabadilishiwa ngozi nyingine afaidi Moto vizuri,

Ben saanane anachochea kuni na kina Alphonse mawazo
 
Mayanga Hawa walipewa tender ya kujenga airport Chato bila kufsta utaratibu,watu walibambikiwa kesi Ili watoe pesa,tilioni 360 kumbe ni kanyaboya,sekta binafsi ilidumaa,deni la Taifa limepanda mara tu kutoka enzi za Kikwete,mshenzi alikuwa anasema anajenga kwa pesa ya ndani.serikali iliuua kila siku,
Bunge gani lilipitisha ujenzi wa chato airport,na sasa hv Ndege ngapi zinatua,
Jiwe alikuwa shetani kabisa,tunashukuru Mungu,aliamua ugomvi
Mungu alisaidia kuondoa ibilisi
 
Rais na kiongozi makini huwezi kujitapa hadharani kuwa ulipiga picha na Rhihana alafu unasikitika kutopatiwa picha hiyo uliyopiga.

Wakati wewe ukiwa madarakani rushwa na ufisadi ulitamalaki. Umasikini na maisha duni yakawa ndio jambo la kawaida. Maana akina Lugumi waliiba mali za umma huku ukichekelea mijino pembe wewe na Riz.

Hayati JPM katawala miaka tano tu. kakusanya mapato. Kajenga vituo vya afya kibao, hospital kibao. Pia kadhibiti mianya ya rushwa mpaka yakatokea yaliyomkuta. Hatukusikia kwenda USA kuuza sura na akina Rhihana.
Mbona husemi wewe ulipata nini!
 
Tofautisha maendeleo na propaganda. Kipindi cha dhalimu maendeleo yalikuwa ya taarifa za kupikwa zaidi, huku ikiwa mwiko vyombo vya habari kusema tofauti na alichokipenda. March 2021 ilitusaidia kuondokana na lile dubwasha ongo na hatari.
 
Wewe huna macho? Hukuona yaliyofanyika? Acha chuki zako.
 
Rais na kiongozi makini huwezi kujitapa hadharani kuwa ulipiga picha na Rhihana alafu unasikitika kutopatiwa picha hiyo uliyopiga.

Wakati wewe ukiwa madarakani rushwa na ufisadi ulitamalaki. Umasikini na maisha duni yakawa ndio jambo la kawaida. Maana akina Lugumi waliiba mali za umma huku ukichekelea mijino pembe wewe na Riz.

Hayati JPM katawala miaka tano tu. kakusanya mapato. Kajenga vituo vya afya kibao, hospital kibao. Pia kadhibiti mianya ya rushwa mpaka yakatokea yaliyomkuta. Hatukusikia kwenda USA kuuza sura na akina Rhihana.
We kenge peleka ujinga wako huko..

Hakuna Rais wa kulinganisha na JK kwenye suala la Uchumi na welfare ya watu.. Mwendazake zaidi ya kuanzisha vitu ambavyo hakuvimaliza hakuna cha maana alifanya.

May be tusubirie Samia baada ya miaka 5 tutapata uwiano mzuri Kwa sababu anaonekana kuwekeza kwa watu kuliko kwenye vitu..
 
Wewe huna macho? Hukuona yaliyofanyika? Acha chuki zako.
Yalifanyika hata wakati wa mkoloni, waliotaka uhuru hawakuwa na macho? Jitokeze uwaambia chuki dhidi ya mkoloni ilikuwa ya nini wakati maendeleo yalikuwa yanafanyika?
 
Back
Top Bottom