Miaka miwili ya Mbosso ndani ya WCB

Miaka miwili ya Mbosso ndani ya WCB

Mbosso yupo kipwani pwani. Soko lake kimataifa ni visiwani na nchi za uarabuni. Sio msanii anayeweza kuvutia Marekani na Nchi nyingi za Magharibi.

Ni msanii wa kimataifa.

Tatizo ni kwamba hizo nchi hazifahamu kiswahili 100% so maana yangu ni kwamba collaboration na wasanii wanaozungumza kiingereza ni muhimu mno bila kusahau lyrics zake asishindilie kiswahili pekee kuna watu anawakwepa bila ye kujua. Mbosso karidhika na local music, karidhika na local artists, karidhika na kiswahili, sasa bas tuzo za kimataifa ataishia kutazama kene TV. Huyo Diamond mwenyewe katoboa kimataifa kupitia wasanii wanaozungumza kiingereza. Fatilia nyimbo za Diamond kuanzia 2016 nyingi utagundua kuwa titles zake ni za kiingereza na kwenye verses kagusa kiingereza 45%.
 
Mkuu, muziki ni universal language itself.

Wahindi wanaimba kwa kiingereza? Wakongo? Au watanzania wasiojua kizungu unadhani wanapenda ngoma za huko Marekani kwa sababu wanaelewa kinachoimbwa?

Despacito unaifahamu? Imeimbwa kwa kilatino lakini ikavunja rekodi kwa kuwa ngoma pendwa kuliko zote duniani hapa juzi kati.

Collabo ni muhimu katika kuchanganya ladha tu. Sio ishu ya lugha.
 
Mimi namkubali ila aache kutajataja vyakula kwenye kila nyimbo, mara chapati, maandazi, kacholi, kalimati na ufuta n.k
Hii nintabiabya mh. Temba wa tmk.Naona dogo nae kaamua kuiga.nyimbo za temba ndio zilikua na tabia hiz
 
Tukubali tukatae, mbosso hayupo ki international yeye anafit kwenye soko la local pekee na mwenzake lavalava. Inshort wasanii wa wcb waliokuwa kiinternational ni harmonize na rayvanny tu bas. So kama ni karata ya kimataifa basi lavalava na mbosso ni magarasa when it comes to business.
Angefaa kuimba singeli au mchiriku. Na sura yake plus muonekano wake havina shukrani pesa imegoma kumbadilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, muziki ni universal language itself.

Wahindi wanaimba kwa kiingereza? Wakongo? Au watanzania wasiojua kizungu unadhani wanapenda ngoma za huko Marekani kwa sababu wanaelewa kinachoimbwa?

Despacito unaifahamu? Imeimbwa kwa kilatino lakini ikavunja rekodi kwa kuwa ngoma pendwa kuliko zote duniani hapa juzi kati.

Collabo ni muhimu katika kuchanganya ladha tu. Sio ishu ya lugha.
Is music a universal language? Ndio but sio kwa 100% kwanini?
despacito imeimbwa kiispanyola na wasanii wakubwa ambao wameshakita mizizi kwenye muziki globally, nchi zinazozungumza kiispanyola ni nyingi sana karibia Latino america yote wanazungumza kiispanyola plus Hispania vyenyewe so ni rahisi muziki wao kupenya, wakongo : wakongo wanaimba kilingala,kiswahili na kifaransa, kifaransa ni international language inazungumzwa afrika na nchi tu inazungimzwa ulaya so ni rahisi wao kupenya, wahindi waliliteka soko la dunia kupitia movies then nyimbo zao tukazijua kupitia muvi zao na nyimbo zote za kihindi zilizopenya na kuhit bongo hata worldwide tulizijua kupitia muvi zao na ndio maana mpaka Leo kuna watu wanaamini zile nyimbo zimeimbwa na kina sharukan,salman khan,ajay devgan,akshay Kumar n.k nikikuambia unitajie hao wasanii walioimba hizo nyimbo huwezi kuwataja labda u google nje ya hizo movie zao unamjua mwanamuziki gani wa India? India kwenye soko la dunia inajulikana dunia nzima katika nyanja mbalimbali za burudani na michezo mfano kriketi n.k sisi Tanzania hatujulikani popote muziki wetu bado uko chini sana yaani sana tu kwenye soko la dunia lugha tunayotumia inazungumzwa east Africa tu ukienda duniani huko hawaijui lugha ya kiswahili na wachace wanaoijua wanadhani ni ya Kenya unaanzaje kupata attention na kupenya ulaya bila kitumia lugha wanazozielewa au wasanii wenye soko ulaya na marekani,uarabuni i mean asia? Hapa Africa nchi zinazoelewa na kuzungumza lugha ya kifaransa na kiingereza ni nyingi kuliko zinazoelewa na kuzungumza kiswahili, unapenyaje? Halafu sisi muziki wetu ni fusion yaani mchanganyiko wa muziki mingi bado hatuna muziki wetu hata Nigeria nao muziki wao ni fusion watu kwenye muziki wao hapa afrika ni south afrika wana kwaito yaani ukisikia tu mdundo unajua hii kwaito haifanani na muziki mwingine
 
Tukubali tukatae, mbosso hayupo ki international yeye anafit kwenye soko la local pekee na mwenzake lavalava. Inshort wasanii wa wcb waliokuwa kiinternational ni harmonize na rayvanny tu bas. So kama ni karata ya kimataifa basi lavalava na mbosso ni magarasa when it comes to business.
Naunga hoja mkono Bw.Pompeoo haiwezekan mtu kuimba taarabu useme yuko kimataifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
gonamwitu,

Maelezo mengi lakini bado hujaonyesha kuwa muziki unapendwa kwa sababu lugha inaeleweka.

Haya, wabongo tunaopenda hizo nyimbo za hayo mataifa yote uliyoyataja tunaelewa kinachoimbwa au tunafeel tu vibe lake?

Prakatatumba ina maana gani?
 
Back
Top Bottom