Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbosso yupo kipwani pwani. Soko lake kimataifa ni visiwani na nchi za uarabuni. Sio msanii anayeweza kuvutia Marekani na Nchi nyingi za Magharibi.
Ni msanii wa kimataifa.
Hayo mambo anayajua hance mtanashati na warumi ambao ndo wambea wetu wa jamiiforum.Mmuu, ulipo andika heading nakakuja mbio nikidhani umeorodhesha....
Nyumba anazo miliki.
Fedha anazo miliki.
Magari anayo miliki.
Pamoja na mengineyo kama hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, muziki ni universal language itself.Tatizo ni kwamba hizo nchi hazifahamu kiswahili 100% so maana yangu ni kwamba collaboration na wasanii wanaozungumza kiingereza ni muhimu mno bila kusahau lyrics zake asishindilie kiswahili pekee kuna watu anawakwepa bila ye kujua. Mbosso karidhika na local music, karidhika na local artists, karidhika na kiswahili, sasa bas tuzo za kimataifa ataishia kutazama kene TV. Huyo Diamond mwenyewe katoboa kimataifa kupitia wasanii wanaozungumza kiingereza. Fatilia nyimbo za Diamond kuanzia 2016 nyingi utagundua kuwa titles zake ni za kiingereza na kwenye verses kagusa kiingereza 45%.
Tatizo anapenda sana kula,kila nyimbo lazima ataje chakula Mara chapati za arizeti nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nintabiabya mh. Temba wa tmk.Naona dogo nae kaamua kuiga.nyimbo za temba ndio zilikua na tabia hizMimi namkubali ila aache kutajataja vyakula kwenye kila nyimbo, mara chapati, maandazi, kacholi, kalimati na ufuta n.k
Zipo mkuu mwambaoniHahahahah eti chapati za alizeti[emoji23][emoji23] kwani ziko hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁 Nikajua mabinti mnamkubali...Hizo nyimbo zake zote ulizotaja sizifahamu...japo nasikia ni mwanamziki
😁😁😁 Nikajua mabinti mnamkubali...
Angefaa kuimba singeli au mchiriku. Na sura yake plus muonekano wake havina shukrani pesa imegoma kumbadilishaTukubali tukatae, mbosso hayupo ki international yeye anafit kwenye soko la local pekee na mwenzake lavalava. Inshort wasanii wa wcb waliokuwa kiinternational ni harmonize na rayvanny tu bas. So kama ni karata ya kimataifa basi lavalava na mbosso ni magarasa when it comes to business.
mwe!!!Angefaa kuimba singeli au mchiriku. Na sura yake plus muonekano wake havina shukrani pesa imegoma kumbadilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Is music a universal language? Ndio but sio kwa 100% kwanini?Mkuu, muziki ni universal language itself.
Wahindi wanaimba kwa kiingereza? Wakongo? Au watanzania wasiojua kizungu unadhani wanapenda ngoma za huko Marekani kwa sababu wanaelewa kinachoimbwa?
Despacito unaifahamu? Imeimbwa kwa kilatino lakini ikavunja rekodi kwa kuwa ngoma pendwa kuliko zote duniani hapa juzi kati.
Collabo ni muhimu katika kuchanganya ladha tu. Sio ishu ya lugha.
Naunga hoja mkono Bw.Pompeoo haiwezekan mtu kuimba taarabu useme yuko kimataifaTukubali tukatae, mbosso hayupo ki international yeye anafit kwenye soko la local pekee na mwenzake lavalava. Inshort wasanii wa wcb waliokuwa kiinternational ni harmonize na rayvanny tu bas. So kama ni karata ya kimataifa basi lavalava na mbosso ni magarasa when it comes to business.