Miaka miwili ya Mbosso ndani ya WCB

Miaka miwili ya Mbosso ndani ya WCB

Kwani lazima uzi uwekwe audio au video ili kujua nyimbo zake?acha ushamba!!!

Halafu nani kaandika nimezijua nyimbo zake zote??mammmmmmae zako

Acha kukurupuka wewe!!pumbavu!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi kuna nchi ukikubalika ndio anakuwa international na kuna nchi hata ukubalike bado anakuwa local?

Mfano Mbosso anafanya shows Comoro, Mombassa, Madagascar, Mayotte, Oman nk hizo nchi ni za kitaifa bado hatuwezi ziita international?
Wamekariri mpaka iwe Nigeria
 
Kwani lazima uzi uwekwe audio au video ili kujua nyimbo zake?acha ushamba!!!

Halafu nani kaandika nimezijua nyimbo zake zote??mammmmmmae zako

Acha kukurupuka wewe!!pumbavu!!!!
Una ugonjwa wa akili unaosababishwa na kukosa bwana sababu hauna mvuto.

Pole kwa sura mbaya!
 
Kama na yeye alisign mkataba wa miaka 15 basi amekwisha. Wcb wana mikataba mibaya, unammiliki vipi mtu for 15years.
 
Kama na yeye alisign mkataba wa miaka 15 basi amekwisha. Wcb wana mikataba mibaya, unammiliki vipi mtu for 15years.
Msanii mwenye akili una sign mkataba miaka 5 tu, mmoja wa kukufua,kukupika na kukutengeneza kuwa na muonekano wa kisanii,mwaka wa 2 unakuwa introduced kwenye game, miaka3 iliyobakia unatoa mangoma makali unakuwa msanii mkubwa mnarudi mezani MNA sign mkataba wa kukufanya kuw tajiri sasa yaani mkataba wenye maslahi
 
Mbosso akijitegemea angekua mbali zaidi. Nyumba yake binafsi na gari kali zaidi. Sio ile Lexus ya mkopo kutoka WCB


Sent using Jamii Forums mobile app
hivi unajua kama mbosso mziki ulishamshinda baada ya kuvunjika kwa yamoto band? Mbn mnapenda kuwajaza ujinga hawa watoto? Ebu mwache atengeneze maisha pale WCB bana msitake mumjaze ujinga hlf yamkute yalomkuta rich mavoko
 
Back
Top Bottom